Mume anapotaja jina la mwengine kitandani

What I can say.. Utafute ukweli wa kwa juhudi zako mwenyewe lol.. Kama kweli yupo mtu mwenye jina hilo mwenye mahusiano naye.

Then ujue mwenyewe what next... Dalili ya mvua ni mawingu lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hakuna ubishi hapo, huyo mumeo kesha kula chakula cha usiku nje, kitu cha msingi hapo ni kujitazama, kwanini amekuacha wewe ndani na kwenda kukata kiu nje ya ndoa, pengine unamapungufu fulani, hivyo anaenda huko nje kupata anacho kikosa kwako! Lakini inawezekana ikawa ni umalaya tu huyo mumeo.
 
utamu ulimzidi ndio maana kataja jina la mtu mwingine wala usikasirike ni maisha tu ndani ya ndoa kama una mwamini muonye tu mengi kama kawa na safiri yenu
 
............inaboa! ila unaonaje ukamtaim afu utaje jina la ex wako! (just saying)
 
ningekua mimi ningechekelea ningemwambia taja tena na kibano juu na jua hasinge weza kunirudishia lingejishitukia
 
Ndo maana mimi nasahau majina wapenzi wangu
nikiwa kwenye mahusiano natunia honey,dia sweety au baby
majina yao halisi siyaweki kichwani
yaani ndo maana wengine nimewasahau majina
ila kama yeye kalitaja jina la mwingine aiseee ajitayarishe kupokea bonge la ngumi kwenye uume wake
 
aisee hiyo ni dharau kubwa mno, ina maana hakumbuki yuko na nani kitandani? dawa ingekuwa kumsukumilia mbali alafu na kumuuliza hilo jina linafata nini?
 
Inawezekana kanda ikauma redio so jina likatamkwa kwa bahati mbaya
 
inategemea alianza kukuita lini hilo jina, kuna wengine wameachana na hao wapenzi muda mrefu na wala hawana uhusiano tena lakini unakuta tu jina halitoki kichwani, mfano wengi majina ya wapenzi wao wa kwanza huwa inakuwa ngumu sana kuwatoka vichwani.
 
Na chaajabu uso wake ulikua mdogo hata hajafanya kama anavyofanya sikuzote manake nilitulia kama gogo nikamtizama usoni jioni katoka kaenda kununua zawadi ananiletea yaniii..

Anajutia kosa. Unajua, sisi ni binadamu, hili suala hakuna mwanamke asiyejua wanaume wenzetu udhaifu wanao, na siku hizi wanawake pia. Cha msingi akutunzie heshima, ametunza heshima yako lakini bahati mbaya inmetokea, alikuwa mdogo, na zawadi akaleta, samehe, maisha yaende mbele. Jamani tusijipe presha na vidonda vya tumbo.
 
Bahati mbaya,ivi ingekua yeye angenielewa? nisawa lakini as long as limemridhisha wala asiwe na wasiwasi kama ana anafunga nyoka...
 
inategemea alianza kukuita lini hilo jina, kuna wengine wameachana na hao wapenzi muda mrefu na wala hawana uhusiano tena lakini unakuta tu jina halitoki kichwani, mfano wengi majina ya wapenzi wao wa kwanza huwa inakuwa ngumu sana kuwatoka vichwani.
Ameniita baada ya miaka 7 ya ndoa,na pia haijalishi ningefanya mie asingenielewa na sikufichi week sasa tangu yatokee
ile furaha alokua nayo zamani bashasha akija nyumbani hakuna na sibadili tabia yangu kwake kila nilichokua namfanyia bado nafanya lakini ucheshi ndio sina yani kama vile niwajibu wangu na hiyo ndio inamla roho...
 
aisee hiyo ni dharau kubwa mno, ina maana hakumbuki yuko na nani kitandani? dawa ingekuwa kumsukumilia mbali alafu na kumuuliza hilo jina linafata nini?
Dharau sana yani nilitulia kama gogo alipotaja hilo jina kama nilomwagiwa maji baridi bila kutegemea,lakini wacha tuende nyumbani huko ndio ntakakomaliziana nae kama kurudi kwake au kurudi kuanza maisha mapya...
 
............inaboa! ila unaonaje ukamtaim afu utaje jina la ex wako! (just saying)
sijui kama ataweza kumeza,lakini wacha awe mjinga yeye staki kushindana na mshenzi wa tabia kwani hakutokua na tofauti baina ya mshenzi na Muungwana..
 
utamu ulimzidi ndio maana kataja jina la mtu mwingine wala usikasirike ni maisha tu ndani ya ndoa kama una mwamini muonye tu mengi kama kawa na safiri yenu
Utamu ulimzidi haya bahati yake utamzidi sanaa hapo tutakapofika nyumbani.....
 
Habari za Hasubuhi waungwana,
Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio
baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake wewe boya tuu hapo au mpaka
amfikirie huyo ndio bao upewe au inakuwaje? au pale anapo kuita akajitia kasahau anaita jina hilo au jengine inakua
keshakuchoka au?

Ukiona manyoya ujuwe yupo chunguni>
 
Back
Top Bottom