Recent content by mokomoko

  1. M

    CHADEMA Ludewa O. Haule ni chaguo letu wananchi, ushaidi wa kadi ya gari huu hapa

    MTOA MADA NAONA UMEKIMBIA KULETA VIELELEZO BAADA YA KUTUAHIDI KULETA KADI YA GARI LAKINI UKUFANYA IFANYA IVYO baada ya mtoa mada kutuahidikuleta ushaidi wa kadi ya gari na vielelezo vingine vinavyoonesha namna gani mgombea ubunge wa Ludewa kupitia tiketi ya chadema mr mchambichaka anavyohujumu...
  2. M

    CHADEMA Ludewa O. Haule ni chaguo letu wananchi, ushaidi wa kadi ya gari huu hapa

    MTOA MADA NAONA UMEKIMBIA KULETA VIELELEZO BAADA YA KUTUAHIDI KULETA KADI YA GARI LAKINI UKUFANYA IFANYA IVYO baada ya mtoa mada kutuahidikuleta ushaidi wa kadi ya gari na vielelezo vingine vinavyoonesha namna gani mgombea ubunge wa Ludewa kupitia tiketi ya chadema mr mchambichaka anavyohujumu...
  3. M

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    MIMI najaribu kujiuliza swali dogo sana kutoka katika halmashauri yangu ya kichwa; kwamba Lema amefanya kosa gani? wewe ulieandika posti hii unautashi kiasi gani? huyo mteuliwa mr mulongo pia anautashi upi katika jambo ili? ningekuona wa maana sana endapo wewe ungeandika kwamba ni kwa nini ccm...
  4. M

    LUDEWA KUINGIA KIZANI KWA MUDA USIOJULIKANA: Tangazo kutoka tanesco

    Wananchi hatuna mamlaka na boss wa TANESCO maana tayari tuna mtu tuliyempa nguvu ya kuajiri na kutimua wanaofanya vibaya katika wizara zetu ambaye ni waziri, sasa ntaanzaje kumusakama asiyenihusu? napaswa kumwambia waziri na kwa kuwa hata mtwara kuna tatizo na ni kwenye wizara yake hiyohiyo kwa...
  5. M

    LUDEWA KUINGIA KIZANI KWA MUDA USIOJULIKANA: Tangazo kutoka tanesco

    TANESCO wilaya ya Ludewa wametangaza kutokuwepo kwa umeme kwa muda usiofahamika kwa kuwa generator zinaishiwa mafuta hivi leo. kulingana na maelezo yaliyotolewa katika tanzazo hilo yanaonyesha wazi kwamba tanesco Ludewa hawana ujanja wa kupata mafuta, na kwa tetesi za chini chini nilizonazo ni...
  6. M

    Sakata la Gesi: Tuiangalie kusini kwa jicho la tatu, tuache siasa!

    mkuu! uliloandika ni la maana sana na la msingi, lakini wapo watu ambao kufikiri kwao ni finyu watakupinga tu kwa sababu ya kufaidika kivyao, leo hii gesi inatoka rungwe lakini watu wa rungwe hawana faida nao kwa sababu tu, hakuna wa kuwasemea. leo tunaona mtwara wameamua kuingia front wao...
  7. M

    Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

    Wananchi watanzania wengi tunahitaji mabadiliko, hatuhitaji propaganda zisizokuwa na msingi nape pamoja na wewe wote hamuijui katiba ya chama cha mapinduzi sasa soma hapa. 13. (1) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:- (a) Kufariki. (b) Kujiuzulu mwenyewe. (c) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba...
  8. M

    Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

    13. (1) Uanachama wa mwanachamautakwisha kwa:- (a) Kufariki. (b) Kujiuzulu mwenyewe. (c) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba. (d) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba. (e) Kutotimiza masharti ya uanachama. (f) Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa. (2) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha...
  9. M

    Samwel Sitta: Tanzania iko tayari kupambana na aina yoyote ya uchokozi kutoka Malawi!

    BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA BALANCE OF MILITARY POWER IN AFRICA African Country Active Troops, Reserve Paramilitary, Total Troops Egypt 450000 254000 405000 1109000 Eritrea 202000 250000 0 452000 Morocco 196300 150000 13500 359800 Algeria 127500 150000...
  10. M

    LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

    Hivi hizi hukumu za namna hii zinaruhusiwa kweli, ni kweli watanzania hatujui sheria lakini mbona hii hukumu inaonyesha kabisa kwamba niya ni kudholotesha maisha ya wapigania uhuru wa tanzania ambayo iko chini ya mkoloni sisiem! Hakika ningekuwa kiongozi wa chadema ningemchukulia hatua lusinde...
  11. M

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    kwanza ni rais wa kwanza tanzainia kuingia Ikulu na mwanamke wa kuazima pili ni rais ambaye sikuwahi kusikia kama ana mtoto japo aliazima mke kwa Mr mramba na hapa najiuriza mbona watu wanapenda sana pesa? ilikuwaje wazir msitaafu wa fedha akakubali mkewe kupigwa kiboga na jamaa hili, ili yeye...
  12. M

    Kashfa mbaya ya rushwa iliyomkuta m/kiti wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa

    majungu bana hutayajua tu. jamaa huyu ni mchapa kazi kweli kweli hata deo filikunjombe anamjua, lakini mimi kama mimi ninacho kijua ni makundi ya kisiasa ndiyo yaliyo peleke jamaa kuonekana ni mla rushwa. lakini lipo jambo unapaswa kulijua mtanzania kwamba kisheria kama umeingiziwa pesa na mtu...
  13. M

    Mwigulu Azungumzia Ushoga Jukwaani!

    moja kati ya sifa za kuwa shoga ni kuwa na tabia za kike, na sifa za kike ni pamoja na ktoga masikio na kuvaa hereni. Poleni wana arumeru maana najua mtakubali kumchagua shoga hili iwe rukusa kuoana jinsia moja arumeru sipati picha sijui itakuwaje? Maana ukienda kuomba ardhi tu kwa shoga lazima...
  14. M

    Vijana wa CHADEMA Tunduma wamechachamaa

    leo hii tunduma, hapana usalama baada ya bendera ya chadema kushushwa kwa kukata mlingoti wake wa chuma huku ikidaiwa kwamba, wameukata hili kuondoa uchafu kwa mgeni ambaye ni makamu wa rais na akisha ondoka watauludisha. Lakini wananchi wamegoma kwa hiyo hapa ffu nyomi kuhakikisha bilal...
  15. M

    Kumsusa Kikwete, CHADEMA wamevuna mahindi au Mabua?

    kumbe kuna muda una mawazo mazuri kweli ndugu yangu! big up sana
Back
Top Bottom