Recent content by mokibo

  1. mokibo

    Ni kweli yule binti wa Makumira alibakwa?

    Maswali unayouliza yatakuumiza bure na majibu unayotegemea hutoyapata hapa cha muhimu waza lingine kwakuwa kama wewe hujui sisi tutajuaje
  2. mokibo

    laptop inahitajika (new or used)

    Hp core i5 64bits ram 4gb hdd 500 bei 450000 mpya haina tatizo
  3. mokibo

    Nauza majiko Sanifu ya mkaa

    Nitumie namba mi nipo dar nayataka
  4. mokibo

    Msaada wakuu, tamaa imeniponza

    Hatua ya kwanza kohoa kwa nguvu mara tano halafu muangalie cha uroho anatikisika?ukiona flesh basi ni ugonjwa tu ukiona kimya basi ni tego hilo ila izi noti feya kwakitendo ulichokuwa unataka kukifanya hata shetani hapendi ila MUNGU ANAKUONA
  5. mokibo

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Ndio mana wakina joti wakatoa ze profesa
  6. mokibo

    Mtu wa kwanza kunywa pombe

    Asilimia kubwa ya wabunifu wa zamani walifanya vitu kimakosa ndipo kukagundukika kitu kipya mfano tuchukulie ugali watu zamani walikuwa wanakula nafaka kwa kutafuna ila siku moja dogo kaona kuliko nitafune pora nipondeponde nibwie tu jumla hapo wakagundua unga siku nyingine dogo kashindwa kubwia...
  7. mokibo

    Je, wajua kuwa hakuna kifo?

    Ukikinyonya na jua halafu kisiwe kimetolewa mbegu ndio shida yake hii kilivyopanda katoa uzi kimeshuka hajui ajibu lipi na kwanini kauliza
  8. mokibo

    Ingekuwaje kama:

    Mtu akikosa la kufanya bwana ni shida sana
  9. mokibo

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Ndio mana wenzetu wa nje ya tanzania wakipita na kugundua ni bendera ya taifa husimama kutii lakini wanapoona wewe mwenye nchi hujali wanatuona mamburura
  10. mokibo

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Kutii sheria za nchi ni lazima mkuu kitu kama bendera ya taifa lako lazima uheshimu kuonyesha uzalendo kwa taifa lako sasa wewe unataka uamue mkuu
  11. mokibo

    Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

    Ulikuwa unapiga mambo yetu ya hisia kabla
  12. mokibo

    Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

    Ili uone balaa lao hata mmoja umweke kenya mwingine urusi kesi haziishi
  13. mokibo

    Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

    Kuoa mke wa pili ni jambo zuri kwa mwanaume na nizuri kwa mwanamke pia tatizo lipo kwa wanawake huwa hawapendani kamwe hata we mwanaume ufanyeje never be the sawasawa hata siku moja .Naukiuliza ndoa nyingi vipi mumeo ametulia husema wapi anavidem nje kibao sijui nimfanyeje sasa kaamua kuoa ili...
  14. mokibo

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Unalala vibaya hadi njia ya hewa inajikunja hii hali huwatokea wengi na kuamini ni wachawi ila mlalo wako ndio uchawi jaribu kulala vizuri na hakikisha mwili hauchoki sana maana mwili ukichoka sana hufanya ulale bila mpangilio na kujikunjakunja shingo mishipa ya hewa inajikunja na we we kukosa...
  15. mokibo

    Gharama za matibabu India kuondoa uvimbe (kansa)kwenye ubongo

    Nami nahitaji uniunganishe india
Back
Top Bottom