Ingekuwaje kama:

tremendous

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
3,237
5,307
Huwa najiuliza hivi ingekuwaje kama:
1. Watu wote tungekuwa sawa; yaani hakuna tajiri wala maskini, mjinga wala mjanja, msomi wala ndina, mweusi wala mweupe, mrefu wala mfupi nk ingekuwaje?

2. Magonjwa, njaa, kutendwa, kukataliwa, wizi, uongo, umbea, uzinzi, unafki, dharau nk visingekuwepo dunia ingekuwaje?

3. Pesa; yaani kwa sasa kusiwepo na pesa kabisa itakuwaje, turudi kwenye ile system ya kale ya kubadilishana bidhaa.

4. Wanadamu tungekuwa na mating behaviour kama wanyama wengine e.g kuku, punda n.k ingekuwaje.
Mf. Mwanaume akitaka kumpanda mwanamke basi watakimbizana from mbagala akimdakia ubungo haijalishi kuna akina nani hapohapo mambo hadharani.

5.Kusingelikuwepo utawala diniani; yaani kila mtu anafanya atachojisikia haijalishi madhara yake ktk jamii.

6. Pombe, sigara na vilevi vingine visingekuwepo dunia ingekuwaje.

7. Wanawake ndio wangekuwa vichwa vya familia ingekuwaje, je familia zingekuwa na amani au vurumai za kutosha?

Najiuliza tu ingekuwaje kama: wewe unajiulizaje, karibu.
 
nahis hayo yasingekuepo nisingetaman kuwepo dunia hii yenu.
 
Akili yako inaishi maisha ya zamani sana.'kikwazo pekee kwa unachotamani kiwe ni mwili,mkuu Mwili wako unaishi maisha ya sasa(digital) mno
 
Hili tatizo linafahamika kiserikali
Ila sijajua waliamua nini kifanyike kwa watu tutakaowagundua na hili tatizo tuchukue hatua ipi
 
Ugumu_wa_maisha,

Matokeo_yake_ndo_haya.
Kufikiri_vitu_visivyowezekana.

Pole,mkuu.
 
Hili tatizo linafahamika kiserikali
Ila sijajua waliamua nini kifanyike kwa watu tutakaowagundua na hili tatizo tuchukue hatua ipi
hali ya pesa ikiwa ngumu, vichaa huongezeka, karibu uombewe kesho kuna ibada pale iloganzala jijini mwanza
 
Back
Top Bottom