Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

tingetinge2

Member
Oct 15, 2016
32
15
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto

Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .

Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
 
Pole sana kijana mwenzangu,hapa ndo tunapopata funzo la imani kijana kama we unahangaika kupata mtoto lkn mungu hajakujaalia lkn kuna lingine saa hii lipo bafuni linarusha tu masperm litre nzima
Inawezekana hata hayo ya bafuni hayana nguvu
 
Ilikuwa niku pm lakini nimeona nikuelekeze hapahapa na kama kuna wengine wana tatizo inaweza kuwasaidia pia.

Hii ni tiba ya asili.

Elewa kuwa process yake ni ya muda mrefu, inaweza ikachukuwa miezi mitatu mpaka mwaka, ila usikate tamaa na ufate maelekezo.

Anza kwa kunywa maji ya mdalasini kwa siku zisizopunguwa 45, glass moja kubwa kabla hujala kitu asubuhi, mchana kabla ya kula, usiku kabla ya kula, na usiku kabla ya kulala.

Kwa maana utakunywa glass 4 kwa siku.

Tuanzie na hiyo, baadae ntakuletea nini cha kufanya baada ya hapo.

Unikumbushe kupitia hapa hapa.
 
Ilikuwa niku pm lakini nimeona nikuelekeze hapahapa na kama kuna wengine wana tatizo inaweza kuwasaidia pia.

Hii ni tiba ya asili.

Elewa kuwa process yake ni ya muda mrefu, inaweza ikachukuwa miezi mitatu mpaka mwaka, ila usikate tamaa na ufate maelekezo.

Anza kwa kunywa maji ya mdalasini kwa siku zisizopunguwa 45, glass moja kubwa kabla hujala kitu asubuhi, mchana kabla ya kula, usiku kabla ya kula, na usiku kabla ya kulala.

Kwa maana utakunywa glass 4 kwa siku.

Tuanzie na hiyo, baadae ntakuletea nini cha kufanya baada ya hapo.

Unikumbushe kupitia hapa hapa.
Asant San ila mm hua natumia chai ya mdalasin na tangawiz .Nitafuata ushaur wako.
Napokea ushaur wenu wadau hik kitu kinaninyim rah ya kuishi
 
shahawa zako ukiziangalia kwa makini kuna kitu unaona kama vi ball vidogo DOGO? hakuna kitu unaona kama hicho. kama kipo nijulishe nitakushauri kitu
 
Tumia mbegu za maboga kwa kuzitafuna zikiwa mbichi kwa muda wa siku 25 mpaka 30. Kisha utakuja kunisimulia ndugu we mwenyewe utashangaa na kufurahi pamoja na mkeo. Asanteni.

Tafuna mbegu 150 mara 3 kwa siku
 
Pole sana mkuu, ila usijali. Matatizo mengi ya aina hiyo yana tiba zake. Cha muhimu ni kukutana na wataalam wa mambo ya uzazi kwa wanaume na uzingatie maelekezo!

Usikate tamaa mkuu, nakutakia kila la heri!
 
Wadau wa jf najua mara nying hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulan Nina mwak wa2 kweny ndoa cjabahatik mtoto niliwah kupima kipind ch mwak1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm,poor progressive,poor morphology. Cvut cgar clewi .Naomba msaada wa daw na hospital inayoweza kupat matibabu Asanten sana
Kwa vyakula ni hivi:-

1) Karanga Mbichi (au chemsha kidogo sana zilainike)

2) Mihogo mibichi (kula kidogo tu kwasababu zina side effects)

3) Maziwa mix na Asali mbichi. 1 table spoon in 1 cup

4) Ndizi ng'ombe mbivu.

5) Tangawizi mix na Mdalasini zichemshe kidogo sana.

6) Sea foods (Pweza, samaki wekundu n.k) zina wingi wa zinc.

7) Parachichi + mbegu za maboga ambazo hazijakaangwa.

8) Tikiti maji (iliyolimwa organically sio chemically)

ONYO: Epuka kutumia vyakula vya mafuta ya wanyama au vegetables (yaani mafuta yanayoganda)

Pia, fanya mazoezi hata mara 3 kwa wiki.


NOTE: Sio lazima utumie vyakula vyote hivyo kwa pamoja.

INCASE HAZIJAKUSAIDIA: kama upo Arusha nikudirect kwa mzee mmoja wa kimasai kisha utaleta mrejesho hapa.

Good luck,
 
Back
Top Bottom