Unatakiwa kujua feminist hana utii, Sasa tanguliza hisia na mihemuko ya mapenzi kwa kuhisi unaweza kumuongoza feminist anayepambana kuvunja masculinity, Uhuru ni wako chukua feminist mmoja oa with time you will be learning along the way.
Kufanywa mwanamke sio kubadilishwa jinsia ni yeye kuwa...
Hayo mambo yako unayofanya as if uko peke yako unatakiwa umshirikishe kwa sababu ya hao watoto uliozaa nae, usipofanya hivyo umetengeneza tatizo na watoto mliowazaa watakuwa bitter sana kwenye jamii sababu wamelelewa na wazazi wenye kujilinda na sio upendo
Uko sahihi, sio kwa mwanamke tu ni kwa binadamu yeyote anahitaji nguvu ya maamzi isiyotokana na njaa.
Pesa na Elimu ni nguvu zinazotumika kutoa uwezo wa kusikilizwa na kufanya maamzi bila kutegemea return kwa mtu unayefanya maamzi juu yake. Angalia mfano wa viongozi tulionao wenye vipato vidogo...
Halafu hata sio watu wapya wanaotapeliwa, wale wale waliotapeliwa kwenye kampuni ya kalyinda ndo hawa wamejazana kwenye LBL,
Walio wengi ni wale walokole wanaoishi kwa kuombewa na manabii na mitume wao, Kuna watu nchi hii wanaamini wanaweza kufanikiwa bila kutumia akili bali kulia makanisani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.