Recent content by Mohombi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kutoka mitaani DSM

    ahsante kwa kutujuza mdau! tuchukue tahadhari jamani!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chanel Ten sa mbili unusu leo LHRC, Na mkurugezi wa SSRA kuhusu Mifuko ya kijamii

    hii nchi ya ajabu sana. hivi inakuwaje hawa watu wanakaa wanatoa maamuzi kuhusu pesa zetu bila hata ya kutu consult. ipo haja kubwa sana kuipinga kwa nguvu zote sheria hii kandamizi na ya kinyonyaji. through pesa zetu kila siku wanaanzisha miradi ambayo haitunufaishi sisi moja kwa moja bali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Angali Vituko vya Kipanya leo

    huyu jamaa ni critical thinker. mie namkubali sana. ila inabidi aanze kutembea na body guards maana nchi hii haieleweki!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Toka iringa: Wanafunzi wa kike wamuua mwalimu wao kwa kutaka kumbaka mwenzao..

    mh hilo tukio linaonekana kabisa kuwa ni mchezo wa kupangwa! hao wanafunzi inaonekana walipanga kumkomoa mwalimu wao na wakaona kabisa kwamba njia sahihi ni kumfanyia hayo yote! la kama kweli jamaa alikuwa na nia ya kubaka hilo litakuwa tatizo jengine!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha za Matukio Mbalimbali ya Ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar Leo

    Inatia uchungu, inasikitisha na inauma sana!. Poleni wote mlopoteza ndugu zenu, majeruhi wote tunawaombea mpate pona haraka na wale wote walopoteza maisha tunawaombea Mungu azilaze roho zao pema peponi. Amin!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

    Kwa hili Spika amepotoka. Kama alishindwa kutoa maamuzi ni bora angewauliza wasaidizi wake na sio kukurupuka kutoa maamuzi ya hovyo wakati wananchi wanaowawakilisha wanakufa! Busara zaidi inahitajika katika kutoa maamuzi, si kila jambo linahitaji ubabe bungeni! Huyu mama hana busara kabisa!
Back
Top Bottom