Tahadhari kutoka mitaani DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kutoka mitaani DSM

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by zaleo, Jul 28, 2012.

 1. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  From a friend.

  Please be informed that armed thieves have recently come up with a more “efficient" method of disarming people in the City Centre.
  They extend their arm for a handshake after asking for directions, making it seem as though they are thanking their victim but they have a needle, dipped in some sort of sedative, under their sleeve that makes one feel drowsy. When their victim falls asleep, this seems to the general public as one who has fainted, they go ahead and move their victim to a convenient location posing as Good Samaritans, only to rob them! Other than the loss of personal effects, there is also the risk of Contracting HIV/Aids or hepatitis since the needles in use are highly Unlikely to be sterile!

  PLEASE be aware of strangers who insist on shaking hands or coming too close to you in the city streets!

  On Saturday someone personally witnessed a man in recovery mode along a lane off Mfangano Street – Dar es Salaam . He had been robbed of even his shoes and yet it was broad daylight - around 5 p.m.
  Please be VERY careful. Kindly notify the people around you and tell them what you know. Do not accept business cards from strangers that you do not know masquerading to be selling beauty products/or 'anything'. They could be laced with chemicals that could send you unconsciously within seconds.
  This message is everyone who goes to school/college alone (particularly girls) - if you find any child crying on the road showing his her address, and is asking you to take him/her to that address, then take that child to the Police station, no matter what you, DON'T go to that address. This is a new way for gang members to rape females.
  Please forward this to everyone, including boys, so they can inform their sisters and friends. Do not feel shy to forward. Your one message can save someone!


   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwani kova yupo likizo !
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Thank you very Much for this useful information
   
 4. M

  Mohombi Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa kutujuza mdau! tuchukue tahadhari jamani!
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  so kushkana mkono hamna...thtz all abt
   
 6. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hii kali, dah!
   
 7. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata Paulo aliwaambia wafuasi wake kwamba hata yeye anapigana vita ili kuingia Mbinguni, isije ikawa anawapeleka wengine Mbinguni na yeye akabaki. Kwani Kova yuko salama kiasi gani na mafia? Ukibisha kamuulize OCD - CID wa Kawe, ilikuwaje kagongwa na gari na asijue nani kamgonga wakati yeye mwenyewe ni mpelelezi kinara wa wilaya? Traffic anapokuambia funga mkanda sio kwa faida yake ila yako utakayesikiliza na kuchukuwa tahadhari. Padri au Shekh anawaasa waumini wake wasisarandie vimwana vya watu au vijogoo vya wenzao, lakini yeye mwenyewe husarandia pia. Mahubiri msibani hayamhusu marehemu anayezikwa, ni kwa faida ya wale walioko kwenye mazishi. Cha msingi ni kusikiliza na kuchukua tahadhari, ama sivyp udtabeba udongo wa tani sita milele.
   
 8. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mfungo
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na atafungwa magoli mengi sana tu.
   
 10. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jf kiboko duh.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwani kina kova bado hawajapata taarifa za kiintelejensia na genero atachment?
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  haya ndiyo matokeo ya serikali legelege
   
 13. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hao kina Kova wako bussy kufuatilia wapinzani wa CCM wanasema nini na wawashughulikieje, walimu wawakobe kama walivyowalimboka madaktari ili vyeo vipand wakionekana na wakubwa zao wamefanya kazi nzuri "kulinda amani" Ili kuwaamsha labda mmoja wa makova akovewe, hapo utawaona mapolisi wako macho kumbe. Kumbuka OCD -CID wa Kawe baada ya kilichompata, mapolisi walihaha na pale Muhimbili ungekuwao ungedhani ni central police station au eneo la mafunzo ya mapolisi kwa jinsi walivyokuwa wengi kuhakikisha bosi wao anawaona wanamjali. Polisi wa Tanzania wanafanya kazi kwa tija tu - ama kutoka kwa mabosi wao au utobolewe wewe mifukoni mwako.
   
 14. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hbr muhimu kama tujuze kwa kiswahili kaka sbb hapo mlimani wengine tunapita njia tu
   
 15. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Siku nyingine tuandikie kwa ki-China pia, kwa wale tunaojua kichina na kiswahili, taadhali kwa wa Tz katika lugha ya waingereza duh!!
   
 16. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Ubarikiwe kwa taarifa hii.
   
 17. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tabia za kushikana mkono na usie mfahamu ishapitwaga na wakati.
   
Loading...