Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

Jaman tunaelekea wap.BAJETI YA MAMBO YA NDAN ILIKUWA INAJDILIWA JANA M2 ANAKURUPUKA ANASIMAMA ANASEMA BAJET IPITISHWE BILA KUJADILIWA INAKUJA KWEL HALAF WA2 WANAKUJA JF WANAANDIKA 2 BLA KUFIKIRIA.....ALIYETAKIWA KUOMBA BAJETI IHAIRISHWE ni mwenye wizara sio m2 mwngne 2ache ushabik usiokuwa na maana.
 
Hivi ingekuwa mbunge mmojawapo amepoteza maisha katika hiyo ajali, bunge lingeendelea? Au mimi ndo sielewi?Kweli wabunge wa CCM hamnazo,kesho tutasikia salam zao za kinafiki.

Tatizo ni utaratibu uliotumika haukuwa na ustaarab hata kama kuna matatizo
 
Kwa hili Spika amepotoka. Kama alishindwa kutoa maamuzi ni bora angewauliza wasaidizi wake na sio kukurupuka kutoa maamuzi ya hovyo wakati wananchi wanaowawakilisha wanakufa! Busara zaidi inahitajika katika kutoa maamuzi, si kila jambo linahitaji ubabe bungeni! Huyu mama hana busara kabisa!
 
Ningewaona wa maana zaidi kama wangekataa kuchukua posho ya kikao jana ili iwe rambramb badala yake wanaongea 2....na inasemekana mpaka saa mja usik hakuna hata mbung mmoja aliyekuwa amefika eneo la tukio sasa cjui walitoka wakaend wap.
 
lakini ingekuwa ni wabunge wa CDM wametoka CUF mngeungana na mabwepande kuzomea lkn wenzenu wa CDM wamewaunga mkono,mngekuwa nyinyi cuf mngefanya hivyo?



Hapo kaka umeongea vizuri sana, tena huyu Hamadi Rashid angekuwa wa kwanza kutabasamu.
 
Huyu spika Makinda sijui ni binadamu wa aina gani kilichotokea leo kuzama kwa boti ni janga la taifa hivi hapo bungeni wewe Makinda ungekaa kwenye hicho kiti kama sio wananchi huu ni upuuzi wa hali ya juu hivi bunge ni bora kuliko uhai wa mtanzania....hapo ndio namkubuka Samuel Sitta... huyu Makinda ana roho ya chuma aisee!
FREEDOM is COMING SOON!.
Kama utagundua kuwa kuna waTanzania wengi wanakufa kutokana na utawala mbovu ulioko madarakani nina Imani utaunga mkono katika Juhudi zetu. Nashukuru umeanza kujionea kwenye taasisi hii ya serikali. Maana Serikali sio bora kuliko wananchi.
 
CCM sasa wanajuta kuweka kiazi kisimamie Bunge ona sasa aibu wanayo pata
 
Ningewaona wa maana zaidi kama wangekataa kuchukua posho ya kikao jana ili iwe rambramb badala yake wanaongea 2....na inasemekana mpaka saa mja usik hakuna hata mbung mmoja aliyekuwa amefika eneo la tukio sasa cjui walitoka wakaend wap.
Nahisi wewe unawaombea ndugu zako wafe ili uletewe rambirambi. Utu ni zaid ya hela.
Wakati ule rambirambi ilikuwa na umhimu gani wakati wahanga wapo majini?.
 
ndio shida ya kufanya kazi kwa woga kujihami na kutofikiri na kutegemea wengine waamue, angekuwa hapelekeshwi basi angetoa maamuzi mazuri kwa wakati ufaao lakini kwa sababu kazoea kupokea maagizo akawa anavuta kasi ya kuambiwa chakufanya haya sasa kaumbuka. huu nao ni udhaifu.
 
Mh. hapa na wewe umechemka! Siyo wabunge wote wa upinzani walitoka, Mh. Cheyo mbunge wa UDP yuko upande gani, wa chama tawala au upinzani?
 
Back
Top Bottom