Recent content by mohamedy mbalazo

  1. M

    Kasulu: Majambazi wateka gari na kulilipua kwa bomu, watatu wapoteza maisha

    Dar nihatari sana maana mm! location; shule ya munanila high school ipo wilaya ya buhigwe pemben kidogo ya mji wa kasulu(wilaya mpya) ni mpakani na burundi. mungu atujarie na atulinde tufike salama.
  2. M

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    sawa! yangu macho amshawish na ki**et#
  3. M

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Rest In Peace Ustadh.
  4. M

    Baba ajibiwa na binti yake; Nikikuonjesha utaacha wake zako wote

    utatuz hapo ni kutafuta ukwel wa maneno ya bint,,,....apewe baba mtu,tuone kitakuwa nn.
  5. M

    Wauguzi wanawake hawajatulia!

    basi wafungue sex clinic au vp
  6. M

    Sina hamu na mume wangu

    Unajua ktk maisha kuna vikwaza vile vile ktk kaz pia ktk elimu na ww yamekukuta ktk ndoa.kitu cha msing ni kwamba ukipatiwa vikwazo ktk elimu huwez kuacha shule au kaz au kufa ila ni kukubali kwamba yametokea.plz kubali halafu cool down.
  7. M

    Maajabu wizara ya elimu

    Broo usemayo ni kweli harafu hawa hawawez kuchelewa ku2tolea matokeo yetu 4m4 2013
  8. M

    Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Jaman km kuna jina baya ukiacha lile la "kichwa cha mwendawazimu" tz tunastahil kupewa maana ipo mwaka m2 yupo chuo kikuu hajui hata kuandika propozo ya kiingerza hy weeeeeee BRN matokeo makubwa ss
Back
Top Bottom