Naomba kufahamu bei halisi za ving'amuzi vya kutumia antena maana ktk Matangazo ya redio tunasikia sh 22000 ukienda madukani unaambiwa sh 52000 kwa hapa mwanza maeneo ya Igoma je hawa ni mawakala wenu au wako kibiashara tu
nimekwenda hata mjini bei ni sh48000 tuwekeni wazi au muwe na duka kama...
Swali ambalo mimi huwa najiuliza halina majibu ni hili Inakuwaje mtu anakwenda benki anachukua mishahara ktk akaunti zaidi ya moja benk wasijue? Hizo namba za siri walipewa na nani kifupi kuna watu wa benki nao walishiriki,hii inatakiwa kuzoa wahasibu na hao wa benki wahojiwe sura zao...
Waachane kwanza na mashamba kuna mapori Mengi hayana mtu wanaishi ndege tu,maeneo ya mijini ndio kuna usumbufu wa watu kunyang'anywa maeneo vijijini na porini hawaendi kwanini au hawapaoni?
Mwaka huu hakuna nafuu yoyote itakayotokea hata hizo kodi za pango hazitashuka kutokana na Madalali uchwara labda serkali ijenge nyumba za kupangisha,awamu hii ya tano iko kwenye mlima mrefu sana matatizo yapo kila kona hata saruji,Nondo na mabati havita shuka bei
Mwanamke au mwanaume anaejitambua hawezi kuchepuka maana ndiyo mwanzo wa kuleta magonjwa pia watoto wa nje ya ndoa ukiangalia hayo madhara unakimbia mapungufu ya mwenzako unaleta maafa faida gani,hata huyo mchepuko unaona anafaa kwa kuwa hamjazoeana lakini mwisho wa siku anakuona wa kawaida na...
Hawa watu ni wanyama kuua watu wote hao nadhani kuna chuki yawezekana hata mashamba yaweza kuwa chanzo sidhani kama ni ushirikina,Polisi wakifanya uchunguzi watabaini maana visa vya aina hii lazima chanzo kipo tatizo ni muda waliopewa Polisi kuwakata hao wahusika ni mdogo na wao wanajua kuwa...
Hiyo nafasi ingebaki wazi tu ili kubana matumizi maana hao waliokuwepo wanatosha,sioni kama kuna jipya kwa aliye ingia hata bunge lilopita alikuwa na wadhifa huo hatukuona ufanisi tumkumbuke mh Sitta huyu mzee alikuwa Spika sasa hivi sijui kimebaki nini
Makonda yuko sahihi maana kumsimamisha kazi mtumishi maana yake utachunguzwa ikibainika ni kweli anafukuzwa au kuachishwa kazi,maana yake ukisimamishwa kazi unalipwa nusu mshahara,
Mtazamo wangu tusianze kulaumu wanaotumbua maji kuanzia Rais na watendaji wengi iwe mtu kaonewa ama laa maana...
Huyu Rais atatusaidia tuache kejeli zisizokuwa na maana anachukua hatua bila kkusita wala kuchelewa,wanaotumbuliwa majipu walitaka kuwa miungu watu wanatumia vyeo vyao kupiga pesa sasa hao waonewe huruma ya nini kama mtu anaogopa harufu ya majipu azibe pua kuliko kuhurumia kupe hata hao...
Prof Anna anauhakika kile anachokisema,kwanza msomi pia amekuwa mtumishi kwa muda mrefu anajua mambo yalivyo tusubiri kama majipu halisi yatafikiwa au nyama zitaendelea kukamuliwa ila mimi naona majipu yamekamuliwa mfano Hawa wafanyakazi hewa wakuu wa mikoa na wilaya hata Bandarini
Mnapowalazimisha yanga kufanya uchaguzi je wanachama wakiamua kuchagua viongozi walewale itakuwa nini maana nguvu iko kwa wanachama Bmt wanasema uongozi sio halali hamuoni kuwa itakuwa aibu kwenu nyie mnaotaka kuwalazimisha uchaguzi wana yanga?
Hata hayo maduka yatakayopewa Sukari yatakuwa ya watu wale wale wajanja waliotoka mikoa jirani maana pesa hazishindwi chochote,ngoja tuone pili kiwanda kinatakiwa kutangaza bei elekezi ili wananchi waijue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.