Recent content by Mohamedex121

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijawahi waelewa wale watu huwa wanapata division 1 form 4 alafu form 6 wanazungusha!

    Advanced mathematics nilikuwa nakula sana msuli kwa kukariri formula ila mtihani ukija maswali yanakaba kinoma. Mtihani unamasaa 3 nafanya mtihani dk 20 zingine nazitumia kulala. Thank GOD Niliondoka na two ya 11 form 6 uku math nikiwa na f , kombi EGM.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kufika Pangani Tanga, haya ndio yalionikuta

    Baada ya kujichangachanga kama laki 2 na nusu, nikapanga niende pangani tanga kumsaka mtaalamu (mganga wa kienyeji) kwaajili ya tiba ya maradhi yaliokuwa yakinisumbua pamoja na kuweka mambo yangu sawa. Safari niliianza nikitokea Dar kwa basi la kampuni ya hood, nauli ikiwa 22000, na majira ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Ya kwako yamekushinda una kazi ya kufuatilia ya wenzio. Utakuja bakwa mtoto wa kiume unadalili za ushoga, sawa endelea kumfuatilia si ni mumeo huyo
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Hii Chai usiku huu siinywi
  5. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Umenikumbusha mbali miaka hiyo nasoma shule ya msingi mashujaa pale mitaa ya sinza. Watu tulikuwa tunatishana mara popo bawa kaoneka tandale wiki hii anakuja sinza, oh apo kiroho juu, eti choo cha mwisho cha shule ukienda unakutana na bibi kizee anasonga ugali alafu anakuambia karibu mjukuu...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Hayo ndo madhara kuokota ovyo wanawake barabarani na kumuingiza gheto. Hujui anatokea wapi? Aliishi nani? Jiandae kutupiwa kombola. Na kama demu ni kabila la mchagga, Mungu wangu! Umekwisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

    Hawa waganga matapeli wameanza lini uko sumbawanga? Mbona sumbawanga kunasifika kuwa na waganga konk. Nilipanga nije uko kwa mtaalam ila wameshanikatisha tamaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wanawake wawili wakutwa wakiwa utupu Kanisani

    Wachaga wachawi balaa. Nikisikia mwanamke mchaga aise namuogopa ka ukoma. Mungu aniepushe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Huwa naoga hata mara sita kwa siku mwili una refresh usiku nafungulia madirisha nayaacha wazi
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus kwenda Mabibo Hostel

    Madogo wa UDSM uvivu na ubishoo tu unawasumbua. Waulizeni madogo wa UDOM, kule mtu anatoka humanity kwa mguu mpaka CIVE ni zaidi ya 10km kuwahi kipindi au kupiga pepa. Wengine wanatoka pale social mpaka humanity zaidi ya 10km kupiga pindi na mtihani haijalishi ni usiku au alfajiri madogo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Nimesikitika sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

    Nikikumbuka ile written interview ya TRA mwaka 2023 pale CIVE UDOM nikafanyiwa figisu. Safari hii kubabake kitaeleweka tu. Ngoja nizidishe dua na maombi hasa mwezi huu mtukufu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

    Wimbo unaoimbwa "nyako nyako nyakoko nyako nyako nyakokonya" majamaa walikuwa wamevaa jezi uku wakipiga danadana mpira mbele kukiwa na mic za kuimbia inanikumbusha mbali
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

    Kumbe haya mambo ya kunyoana bado yapo! Ni ushamba sana kuendekeza ushirikina karne hii
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Umewasahau wauza chipsi, wapaka rangi kucha, maafisa wa usafirishaji bila kusahau wale wakupigwa na vumbi la chaki (mateacher)
Back
Top Bottom