Recent content by Mohamed R

  1. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Bunge kurusha matangazo ya vikao vya bunge

    Hakuna live in long run.
  2. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania UKAWA wasoma bajeti ya maendeleo Kinondoni, wananchi kutibiwa bure!

    So interesting, go on
  3. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Magufuli fumba macho, kopa haya kutoka kwa Lowassa

    Leo umezinduka, siku zote usiwe unazidiwa na ukereketwa mpaka ukashindwa kuona mazuri ya unayemuita adui yako. Always be objective
  4. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

    Wameenda Mahakama gani,
  5. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Waziri anazuiliwa kutembelea kiwanda cha karatasi Mgololo

    Hakuna paliko salama
  6. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa marudio: CCM wanajiandaa kutekeleza utapeli wa karne

    Cku ikifika kila kona ulikofanyika uchaguzi itakuwa wazi kuelezewa nn kilijiri na nani mshindi. Yetu macho na masikio Muda utakapofikia
  7. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania HIVI Kweli Kwa Uwezo Huu, Bado Ni Sahihi Kusoma Na Kuandika, Ni Kigezo!!!?

    Watasema ndiooo. Chezea Ugali wewe
  8. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

    Kama walishindwa kumsaidia Komba aliyekulia chamani akiwa nguo unadhani wataweza kwa huyo aliyetumika kwa miezi mchache tu.
  9. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

    Pana vitu ambavyo watanzania wanahitaji kuona live na kuoneshwa recorded. Endapo bunge litarekodiwa na ili wananchi waoneshwe matukio yote yaliyojiri, najiuliza kuwa muda utakaotumika kurushwa hiyo recorded utakuwa tofauti na ule wa live? Au hizo recorded lengo lake ni kutuonyesha episode kama...
  10. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Nape juu ya TBC kubadilisha utaratibu wa kurusha LIVE matangazo ya Bunge

    Tanzania tuna TV stesheni ngapi? Na je zote hizo hakuna iliyo tayar kurusha matangazo ya bunge live bila gharama ya serikali? Bunge lililopita tulishuhudia baadhi ya stesheni zikirusha live, je nazo zilikuwa zinalipwa na serikali kurusha matangazo live? Kama wanalazimisha warekodi na kurusha...
  11. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

    Bongo ishu sio vifaa bali ni utendaji wa watumishi. Mwakye aliiweka mitambo airport na bado madudu yalijitokeza.
  12. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Wabunge Viti Maalumu ruksa udiwani

    Ufafanuzi huu ni kama kunjwa vidonge vya chloroquine bila maji.
  13. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania UKAWA washinda kiti cha Umeya Kinondoni, 16 January 2016

    Big up
  14. Mohamed R

    JamiiForums Tanzania Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    Upo utafute
Back
Top Bottom