nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
mfumo huu si wa kufurahia kamwe. tusubiri tuone...
Afadhali hata wewe unaelewaHapo wanatengeneza mazingira ya kutorusha Live. Mwanzoni walisema TBC haitarusha live lakini vituo binafsi ruksa kurusha live. Leo wanakuja na utaratibu mwingine wa kuwadhibiti.
Unapofanya kazi mchana kumbuka kuna wanaofanya usiku na mchana ndo muda wao mzuri. Tusiwe selfish.SIONI UMUHIMU KUWA LIVE NIBORA UONYESHWE JIONI WATU WAKO NYUMBANI..KWANI MCHANA NI MUDA WA KAZI TU !!!!!
HujitambuiSIONI UMUHIMU KUWA LIVE NIBORA UONYESHWE JIONI WATU WAKO NYUMBANI..KWANI MCHANA NI MUDA WA KAZI TU !!!!!
SIONI UMUHIMU KUWA LIVE NIBORA UONYESHWE JIONI WATU WAKO NYUMBANI..KWANI MCHANA NI MUDA WA KAZI TU !!!!!
Wataajiri wafanyakazi kwa ajili hiyo, hii ni nzuri, lakini mbaya yake ni kuwapa masharti makali kuwa hakuna kumchukua anayelala na kupiga miyao. Utamu utapungua.Always feeding us what they want and not what we want......all the best
CKatika hali ya kusikitisha ni pale sisi wananchi tunapoambiwa na kiongoz flan wa serikali yako kuwa Bunge halitaonyeshwa livee. Kwakweli swala hili si haki kabisa kwetu sisi raia maana tutashindwa kuwasikia wabunge wetu wawapo bungeni wakichangia hoja kuhusiana na bajet naomba mh. rais ukiagize kile kikosi chako cha utafiti kikuletee taarifa kama ni kweli kurusha bunge live ni gharama kama ulivyoshauliwa.
Maana naona hiyo inaweza ikirudisha nyuma sana jitihada zako za kutumbua majipu na badala yake wale wasiopenda utumbuaji wako wa majipu kukurudisha nyuma kwa kuwafanya wananchi kutoona jinsi bajet yako ulivyoisukaa na namna serikali itakavyochukua hatua juu ya watafunaji wa pesa kulitia ripot ya CAG. Mh rais kwa heshma kubwa tunaomba uliangaliiee hili laweza likawa ni hujuma juu ya utawala wako.
Naomba waandishi wa habarr mtumie kalamu zenu na karasi kupigia kelele swala hili linalotukwaza sana sisi wananchi
Aaah! Wananchi tunatakiwa tuchape kazi mchana Bunge tuangalie usiku. Hata lisingekuwepo tatizo la gharama bado isingekuwa sawa watu kupoteza muda wa kazi kuangalia tv badala ya kufanya kazi.Katika hali ya kusikitisha ni pale sisi wananchi tunapoambiwa na kiongoz flan wa serikali yako kuwa Bunge halitaonyeshwa livee. Kwakweli swala hili si haki kabisa kwetu sisi raia maana tutashindwa kuwasikia wabunge wetu wawapo bungeni wakichangia hoja kuhusiana na bajet naomba mh. rais ukiagize kile kikosi chako cha utafiti kikuletee taarifa kama ni kweli kurusha bunge live ni gharama kama ulivyoshauliwa.