MADAKTARI WATUMBULIWA - Malinyi
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro, Marcelin Ndimbwa amewasimamisha kazi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Matimbira, Dk Severiana Mayenja, Daktari wa zamu, Dk Evelyne Tenes na Tabibu wa zamu, Nsallu Masembo kwa tuhuma ya kufanya...