Piga Kazi Makwega

Jul 19, 2016
9
5
Wakati wao wanahangaika kufanya yasio na tija kwa WanaLushoto yeye anapambana kuleta maendeleo, anapambana kuondoa kero kwa WanaLushoto, anaendelea na mpango wa kuunganisha vijiji vilivyotenganishwa na mito ili kurahisisha huduma za kijamii.

Makwega Adeladius Kazimbaya you are "UNSTOPPABLE" kama tulivyozoe kukuita kule jimboni kwetu mbagala enzi zile ukiwa mwanasiasa.... watashindana lakini hawatashinda.

Unayoyafanya ni kwaajiri ya watanzania wanaoamini uwepo wa Mungu mmoja Mungu wa kweli na ni yeye ndiye atakaekupa ulinzi wa kweli na madhubuti.

Ungozi unaoacha alama daraja LA ZETA litabakia kama alama ya uwepo wako hapo Lushoto hata kama Mheshimiwa Raisi atakuhitaji katika shughuli nyingine kubwa zaidi ya ukurugenzi as we pray for...

Hayo ndiyo mapambano matakatifu ambayo watanzania tulio wengi tungependa kuyaona yakifanywa na wateule wote wa Mheshimiwa Raisi na si vinginevyo.

Mapambano na yaendelee.
 
Back
Top Bottom