Recent content by Mohamed Masud

  1. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Huu uzi wa zamani lakini nimeupenda sana na ninaanza mwezi huu maelezo yanatosha kbs asante jf pia mtoa manda
  2. M

    90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

    Kuna wanawake wanaojua kutunza ndoa zao hiyo habari hawaiwazii kabisa ila kuna wengine ukitega mgongo alisha anza kumuandaa jamaa yake cha msingi ni kutafuta maisha siku ukimfumania iwe ndio mwisho wa mchezo lakini kama na wewe una tabia kama hizo huo ni mshahara wako usilalamike maana malipo...
  3. M

    Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Natafuta mtu wa kubadilishana nae aje Mwanza mimi niende Dar
  4. M

    N/Waziri Kigwangalla: Kuanzia sasa lazima kila mwananchi awe na Bima ya Afya

    Mipango si matumizi Huduma za afya bado c nzuri Serkali ijipange ili kuhakikisha inaboresha huduma kisha iweke bima nafuu sio kukusanya pesa. Za bima ndio uwe mtaji wa dawa
  5. M

    Ya Nyerere USSR, Mwinyi USA, Mkapa Japan, Kikwete Malaysia na Magufuli Rwanda

    Huu uzi wa watu wazima na wachumi hauhitaji porojo bali tafiti za kina washabiki mnapotosha mada unapochangia soma kwanza hoja za waliotangulia kisha andaa point zako changia sio kuleta pumba wakati michango ya watu inaelimisha au kufanya mzaha ktk mambo ya msingi
  6. M

    Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya Shisha nchini

    Shisha sawa ipigwe marufuku je hii sigara iliyoandikwa ni hatari kwa afya yako na kweli inaleta kansa kwa nini haipigwi marufuku kbs na badala yake inakatazwa kuvuta hazarani
  7. M

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Tatizo benk hazitakubali kupunguza faida na kulipa kodi hata wakizuiwa kutulipisha vat watusahaulisha miezi michache kisha wataongeza gharama ili kufidia hilo pengo,
  8. M

    Yaliyojiri ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania na Mwenyeji wake Rais Magufuli

    Rwanda ni Nchi ndogo lakini angalau inaonekana kuwapa wananchi wake ahueni ya maisha baada ya miaka ya vita,kujifunza kutokea Rwanda ni vizuri naona urafiki wa hawa waheshimiwa una manufaa pamoja na uadui uliokuwepo awali baina ya mataifa haya mawili,pili Rais wetu ni Mwenyekiti wa EAC...
  9. M

    Vigezo gani niangalie kupata mwanamke wa maisha?

    Wanawake ni kama nyanya za sokoni unainunua kwa kuiona nzuri ukifika nyumbani imesha toa maji,jaribu kubahatisha kwa kuangalia tabia kama unapenda umbo na sura ongezea hapo lakini msome mapema maana viumbe hawa hawaeleweki wanahitaji akili na uvumilivu vinginevyo utabadili mpaka utachoka
  10. M

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Mbona uingereza wanataka kurudia kura upya na siSi tuombe wabunge wajadili upya hizi kodi zinaua bendi kweli hii kazi tu
  11. M

    Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Wastaafu nao walitakiwa kupumzika kabisa badala ya kupewa vyeo vipya,waliokuwa na vyeo awamu zilizopita wasiteuliwe tena maana tunawasomi wengi waende wapi? Nakuunga mkono asilimia 99
  12. M

    Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Kwa mfumo huu tutasonga mbele maana watu walikuwa wanajilimbikizia vyeo,sasa waroho wa madaraka anzeni kununa na kukimbia chama Safi mh dr Pombe
  13. M

    Television zote zimepuuza maneno ya Tundu Lissu

    Wachangiaji leo mko sawa kila mtu na chama chake au kila mtu na mtazamo wake
Back
Top Bottom