Zamani wazee walikua wanatunyima kuolewa mbali,ila kipindi hichi watu wamekua civilized sana,na ukichangia na masomo,watu mnakutana vyuoni makabila tofauti,na pia sasa wachaga wanaolewa sana na makabila tofauti,
especially wahaya,waha,wasukuma,wanyakyusa,wangoni,wamasai,na kaka zetu wanaoa sana...