Recent content by mogy

  1. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

    Kabisa
  2. mogy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nilipanga nyumba moja na majini

    Duuuh hawa viumbe ni hatari yaan acha tu nisiseme mengi but wanatesa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mogy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nilipanga nyumba moja na majini

    Dah mazito,endelea basi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mogy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimfanyia hili anakuwa na furaha sana, hatakuja kugombana na wewe

    Hii imenigusa kabisa,na nilijua kuzitunza kwa uaminifu mkubwa mpk zikafanya malengo yaliyokusudiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mogy

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

    Kwani mwisho Wa mwezi na karibu na mwisho Wa mwezi uwiano si ni ule ule,au mwisho Wa mwezi ni zaidi ya siku 31 mkuu
  7. mogy

    JamiiForums Tanzania Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

    Dah nyumba hizi hatari mi nilipanga kwenye nyumba moja,mama Mwenye nyumba alikuwa anaishi hapo,hataki umzidi kwa chochote,cyo kuvaa,kula, yaan maish kwa ujumla,atataka kujua kila cku unapik nn,km ni zaid yk anabadilisha ili tu usimzidi,siku ukimzidi tu ni mvimbo mwanzo Mwisho,na alivyo Bonge...
  8. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

    Mpe muda,nawe jipe muda,huwenda hajui na hana experience ya biashara,but next time anza na mtaji mdogo angalau laki 2 hivi then unasonga taratibu,usikurupuke tena,huenda alikuwa anakutia Moyo tu na hata hajauza kama alivyokuaminisha
  9. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

    Mkomalie,ukiona sound nyingi jua hakuna pesa hapo,ila hicho cyo kigezo cha kumuacha coz unaonekana bado wampenda,utajiumiza,kikubwa jisimamie mwenyw kwanza kwa masuala ya biashara,mpe muda uone matokeo yake
  10. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

    Duuuh pole sana,kaa naye chini akuambie ukweli hela kapeleka wapi kabla ya kufnya maamuzi
  11. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wigi(wig) inanitoa kwenye mood ya 6 kwa 6.

    Fact
  12. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko ukweni leo usiku nitadhihirisha kila kitu mbele ya wakwe na mwenyewe akiwepo

    Ila una Moyo,yaan mpk napata kigugumizi
  13. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko ukweni leo usiku nitadhihirisha kila kitu mbele ya wakwe na mwenyewe akiwepo

    Duuuh hatari sana hii
  14. mogy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

    Unaweza Fanya hata ukiwa mbali naye mkuu?
Back
Top Bottom