1. Kwamba Heche ndio alimkamata na kumfungilia Lissu kesi ya uhaini?
2. No reforms ni election ililetwa na CHADEMA chini ya nani? Kama sio Mbowe akiwa Mwk 2024 December?
3. Kama DGIS ni chombo Cha serikali je makama ni chombo Cha nani?
Majaji wanateuliwa na nani?
4. Nani ameua Watanganyika...
I would like to raise a matter that I believe deserves serious reflection within the Commission’s responsibility for ensuring and maintaining quality in Tanzania’s universities.
Professor, as TCU continues to emphasize quality assurance in higher education, have you ever asked yourself whether...
Habari,
Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA
Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
Amepinga serikali kwa lipi? mwili na afya ya mtu inamuhusu Rais? mbona watu wanaugua magonjwa mengi wanashindwa gharama za matibabu mbona hawasaidiwi na huyo Rais? Viongozi wote wa awamu ya SITA ni vigeugeu (Vinyonga).
Wakati wa awamu ya tano VP(sasa Rais ) hakuwahi kuunga chanjo ..... Ilikuwa...
Ulipaswa kushauri alipopigwa risasi, umoja na amani havipo Tanzania, kama watanzania walio wengi hawana amani mioyoni mwao unathani ujumla wa unacho kiita amani kitatoka wapi, vijana wanaopata ajira in wenye mlengo wa mchicha! Private sector ime yumba, udini na ukabila umeshamili kwa spidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.