Dhamiri yamlazimisha Rais Magufuli kukiri uharibifu katika uchaguzi wa Oktoba 2020

Haujamuelewa Mh. Rais. Yeye kasema baraza la madiwani linalounda halmashauri ya jiji halijachaguliwa na wananchi. Japokuwa madiwani wamechaguliwa na wananchi kuingia kwenye mabaraza ya manispaa zao.... Askofu usikurupuke
da mkuu yaani umeielezea vizuri sana michadema imeshapata lakuongea wiki nzima itaongea wakati hakuwa na maana wanayofikiri wao
 
Kule waliko haribu kama Mtwara baada ya kuwapoka korosho zao, walipitisha madiwani na wabunge bila kupingwa.
Haujamuelewa Mh. Rais. Yeye kasema baraza la madiwani linalounda halmashauri ya jiji halijachaguliwa na wananchi. Japokuwa madiwani wamechaguliwa na wananchi kuingia kwenye mabaraza ya manispaa zao.... Askofu usikurupuke
 
No, I'm not here all the time, na wala sio mnufaika wa ccm, wala siasa bongo, ila ww sasa mzee, every topic abt siasa, uko una complain, I'm telling you, unapoteza muda wako, alternative ya ccm Tz, mbado sana.

Sio kwamba nipo kisha nitaoondoka baada ya mfupi, nipo sana hutaki kunywa sumu. Ufaidike na ccm au usifaidike is non of my business. Ni kweli hakuna mbadala wa ccm kwa mujibu wa mahaba yako, ila kwangu mimi ccm ni chama outdated fullstop.
 
No, I'm not here all the time, na wala sio mnufaika wa ccm, wala siasa bongo, ila ww sasa mzee, every topic abt siasa, uko una complain, I'm telling you, unapoteza muda wako, alternative ya ccm Tz, mbado sana.
Sio mnufaika wa CCM lakini unaitetea CCM na maovu yake!!!
Kweli CCM imewafanya wafuasi wake kuwa misukule.
 
Mwenye kipande cha video kinachoonyesha Mh. JPM akisema hayo ya madiwani kutochaguliwa na wananchi,naomba akiwe hapa kwa ajili ya kumbukumbu za maktaba kwa matumizi ya baadaye. Tafadhali
 
Greetings...

Rais Magufuli akizindua miradi mbalimbali jijini Dar es Salaam, alisema anaweza livunja jiji maana madiwani hawana kitu chochote wanachofanya zaidi ya kula posho, na zaidi madiwani hao hakuchaguliwa na watu! Hii imenifikirisha kidogo, sio kwasababu sikuwa najua kuwa uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa sio huru na haki, Bali ujasiri wa Magufuli kukiri hadharani kuwa hawakuchaguliwa na watu!

Sasa kwasababu uchaguzi uliowachagua madiwani hao ndo huohuo uliwachagua wabunge mbalimbali wanaokula posho..hiyo Inamaanisha kuwa hata hawa wabunge waliopo nao hawakuchaguliwa na watu, hivyo hawawakilishi watu.

Madiwani na Wabunge wa CCM wanajisikiaje kutangazwa hadharani hawakuchaguliwa na watu, na watu nao wanajisikiaje kuona wanawakilishwa na watu ambao hawajawachagua? Na Kama nchi tunaenda wapi tunapokuwa na wawakilishi ambao hawakuchakuliwa na watu?
 
Meya wa halamshauri ya jiji la Dar es salaam hana kata anayowakilisha, ipo hivyo tangu enzi za kina Isaya. Rais alilisema hilo la watu kutokuchaguliwa akimaanisha viongozi wa baraza la jiji la Dar Es Salaam, sio kwamba CCM ilipita bila kupigiwa kura.
 
Ubinafsi ndio unairudisha hii nchi nyuma. Hakuna ambae yuko tayari kuipigania nchi kwa maslahi ya nchi, bali wengi wanaangalia maslahi binafsi.

Tuna preach uzalendo, ila hakuna aliyetayari kuweka uzalendo mbele.

Wote walioshiriki kufanikisha uchaguzi wa mwaka jana, wanajua uovu waliokuwa wanafanya, ila kwasababu ya maslahi binafsi hakuna ambae anathubutu kufungua mdomo.

What goes around, becomes around. Huko mbeleni yaliyofanyika gizani yote yatakuwa hadharani.
 
Kule waliko haribu kama Mtwara baada ya kuwapoka korosho zao, walipitisha madiwani na wabunge bila kupingwa.
Sehemu zote hapakuwa na tofauti. Maana walishaamua kubaki peke yao.

Ila time will tell.
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi! Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya! Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
With due respect kwa Askofu Mwamakula, nafikiri ame mis conceive alichosema Rais. Pengine ni kweli hakukuwa na uchaguzi mwaka 2020 bali uchafuzi lakini Rais hakuwa na maana hii.

Halmashauri ya Jiji la Dar (ambayo imevunjwa), haikuwa na eneo la kijiographia. Na kisheria, utaratibu wa kupata madiwani ulikuwa tofauti na hizo halmashauri zingine. Hawachaguliwi moja kwa moja na wananchi (kisheria). Madiwani wa Jiji, wanatokana na halmashauri za manispaa 5 zinazounda Jiji.
 
Si unafiki ni utawala wa mabavu, hatuna demokrasia Tanzania. Hatuna haki ya kuchagua viongozi tunao waamini na kuwapenda.
Ni utawala wa kimabavu uliojaa unafki tupu. Just imagine wateule wote wanaongozwa na hofu ya kupoteza vibarua vyao.

Wanasifu kwa mapambio kila kitu mbele ya kamera.

Just imagine juzi alikuja mkurugenzi wa afya ofisini kwangu, akaniambia natakiwa kuweka ndoo ya maji na sabuni kwa ajili ya wateja wanaofika. Pia kwa kauli yake, akaniambia kuwa Corona ipo sana kwa eneo tunaloishi, hivyo tuchukue tahadhari maana yeye hana sehemu ya kuhifadhia wagonjwa endapo watazidiwa.

Ila wakiwa kwenye vyombo vya habari wanasema maombi yalisaidia, corona Tz hakuna.
 
Tatizo huyu bwana ni kigeugeu yaani mbele za camera huwa anaropoka kuwaumiza waliojitoa kufuata alichokitaka/maagizo yake alafu kwenye audience anawaanika.NYUMA YA PAZIA HUWA NI YEYE AMBAE ANAAGIZA VYOTE HIVYO
Nilichokigundua, jamaa sio kigeugeu. Kuna baadhi ya vitu anafanya bila hiari yake, yani anajikuta tu vimeshamtoka.

Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyu jamaa yetu, japo sijui ni kitu gani.
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!

Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya! Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
acha longolongo na ww. unajifanya much know, ni kweli halmashauri ya jiji la dar, haina eneo na haina madiwani, wamejipachika tu, sasa huelewi nn, unasema tuliiba votes, ulituona tumeiba... achaneni na ujinga huo
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!

Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
je walichaguuliwa na nani?
 
Toa upumbavu wako pimbi wewe!

Back
Top Bottom