Recent content by mocran

  1. mocran

    Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Mkuu na mimi nnashida na hizo kazi za trainee umri 35 elimu form six english intermediate sio fluent sana naishi Dar ikitokea fursa navuka maji chap
  2. mocran

    Natafuta Account ya Bolt

    Habari zenu wakubwa kama heading inavyoelezea hapo nahitaji mtu mwenye account ya bolt ya gari ambae haitumii kama atakua tayari kuniuzia anichek inbox tuyajenge
  3. mocran

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Lingeundwa group la telegram alaf inatumwa link hapa kila mtu ajiunge
  4. mocran

    Kuamini katika dini ni kulemaza akili, kuukataa ukweli na kuamini uongo

    Ukweli kuhusu Mungu huwezi kuupata kwakusoma andiko lolote Bali unapatikana kwa kufanya meditation ya nuru na sauti. Kwakufanya haina hiyo ya meditation utatambua wewe ni nini, Mungu ni nini, mahusiano yako na Mungu ni yapi. Karibuni tufanye meditation pamoja.
  5. mocran

    Meditation: Jinsi ya kufanya na faida zake

    ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KUFANYA MEDITATION. 1. Meditation inasaidia kutengeneza furaha ya ndani. Tunaposema furaha ya ndani tunamaanisha nini? Ni furaha unayotembea nayo wakati wote, ni furaha isiyotegemea maisha yako yapoje, ni furaha isiyotegemea una vitu gani bali ni furaha inayopatikana...
  6. mocran

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkubwa hivi kigezo cha Elimu ili uweze kufanya hii mithian kikoje maana hua naisikia tu. msaada tafadhali
  7. mocran

    Msaada:Niki-apply mkopo kupitia bodi ya mikopo nitakubaliwa kwa sasa?

    Dah hata mm sikuapply ndo najishauri hapa sijui nijitoe muanga tu
  8. mocran

    Waliokosea kujaza form ya HESLB 2016

    Hivi jaman kuna uwezekano wa board ya mikopo kufungua system yao tena ili kwa ambao hawakuomba kabisa mkopo waweze kuomba, kwa wenye uzoefu na ili ipoje
  9. mocran

    Bachelor of arts in philosophy and religion

    Kwaiyo wewe kila unachokipenda unakijua
  10. mocran

    Bachelor of arts in philosophy and religion

    Habari wandugu , ninapenda sana philosophy na nataka kuapply hiyo degree pale chuo cha mwalimu nyerere ila ngependa kupata info japo kidogo kuhusu hiyo coarse kwa anayefaham baada yakuhitimu ajira zake zikoje au ni taasisi gan nnaweza kuajiliwa baada ya kuhitimu.
  11. mocran

    Jibu la vitu sita ambavyo sio viumbe vya Mungu

    labda kwa kukusaidia tu muanzisha thread ulichokiongea hapo hakijakaribia hata ukweli wenyewe na njia mojawapo yakuufaham ukweli ni through meditation(spirituality meditation) hii njia itakuwezesha kufaham ukweli wa kilakitu siyo kwakusimuliwa au kwakusoma bali kwakushuhudia mwenyewe nakushauri...
  12. mocran

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    hii na mm nmeisikia wa kwanza kaulizwa kasema yeye ni wakala wa ccm wa pili kaulizwa kasema yeye ni wakala wa rais sasa najiuliza hapa rais naye anawakala wake tofaut na wale wa vyama
  13. mocran

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Tena bora mmetoa taarifa mapema Mimi ntajificha angle flan hivi mkipita tu ntadeal na nyinyi vibaka tumeshawachoka tuone Kama hayo maandamano mtafanya
  14. mocran

    Jumanne ya 01/09/2015, siku ambayo Ufunguo wa Uhuru Mtandaoni unapotelea baharini!

    Ukitaka usikamatwe fanya hivi simu utakayotumia kwa shughuli za kimtandao isiwe simu kwa ajili ya mawasiliano mengine kuanzia line y hiyo simu sajili na jina tofaut na lako email utakayotumia kwenye google playstore isiwe na jina lako alafu download app yoyote ya IP addres spoofing ambayo itakua...
Back
Top Bottom