Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
- Thread starter
- #21
Hii inaonesha dhahir mkataba hatukuusoma vizur
Magomeni
Me nimegongwa na mwenyekiti tu mana wote ofisi yao moja
yani kwamba!!!!!!!!!!!!!!!Me nimegongwa na mwenyekiti tu mana wote ofisi yao moja
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [eMe nimegongwa na mwenyekiti tu mana wote ofisi yao moja
HahahahahahahaNi ajali tu kwenye uandishi umeeleweka, sawa dada
Uwiiiiiiiiiii nimegongewa wakuu si kugongwa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ni ajali tu kwenye uandishi umeeleweka, sawa dada
Sentensi tata[emoji2] [emoji2]Me nimegongwa na mwenyekiti tu mana wote ofisi yao moja
Shuleni tunaita kosa la kutumia msamiatia wenye maana zaidi ya moja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sentensi tata[emoji2] [emoji2]
Samhani lkin 'nimegongwa'