The Man Of Experience
Member
- May 26, 2016
- 6
- 1
Soma upate Ufahamu na Maarifa. Kama mmewahi kupitia makala moja jamiiforum iliandikwa vitu sita ambavyo havijaumba na mungu. Nakuonya usije ukakufuru bure. Vitu vinavyoonekana na visivyo onekana ameviumba Mungu na hii Si Nadalia kama asemavyo ni dhahiri. Kwa bahati mbaya simeisoma baada ya muda kupita. Ujue kila anayesema kinyume na Mungu anatokana na shetani. Mwisho amesema KIZA NI MWANAMKE NA MUNGU NI MWANAUME ogopa sana wanafalisafa wanaweza kukuingizia elimu Kwa akili sana na hatimae ukaiacha imani. Kabla ya yote soma Ayubu 38 yote kisha anza kuupima ukuu wa mungu. Giza humuwakilisha shetani na unaposoma kitabu cha Musa Mwanzo haisemi maji yaliumbwa lini wala giza wala Mungu mwenyewe na hakioneshi shetani alimuasi Mungu lini. Ila kitabu hiki kinaeleza Gharika kuu mbili ya kwanza iliiacha Nchi ukiwa na utupu na gharika ya pili ni ya Nuhu ambayo iliivunja vunja dunia na kupatikana mabara tuliyo nayo na majira yaliharibika na mungu akaumba upya. Kwa maana hiyo ulimwengu wa kwanza uligharikishwa likabaki jiza na nguvu zake. Ulimwengu wa pili ndo wa Adamu na hapo Mungu alisema hata na tumuumbe mtu Kwa mfano wetu tunapata uhakika kuwa viumbe wakwanza hawakuwa kama sisi. Gharika ya pili iliacha watu Nane na ulimwengu na Nchi ile ndio hii tunayoishi. Na tunajua Luna ulimwengu mwingine ujao ambao hauna jua wala mwezi wala bahari wali maumivu hayata kuwepo. Asanteni by Surchyang The Man Of Experience Glory to God.