Recent content by mocker2

  1. mocker2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kukinai wanawake ninaokuwa nao katika mahusiano

    yan kama umeniandikia jambo ambal lilinisumbua kwa mda hapo kwenye wik mbil yan nam ndo hvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mocker2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi amefumania message za mapenzi

    yey akutak ndo maana akujib,kwahy itabd nawe umwache,cha msing kua makini na gonjwa ili la CORONA,fata maelezo ya wizara ya afya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mocker2

    JamiiForums Tanzania Inauma sana ila maisha yanatulazimisha

    kwahy wewe unaangalia wat wanasemaje juu ya ufanyalo kuingz kipato…wew pambn si lazma uajiliwe na serikar,kwan imeandikw wap kwmb mtu aliesoma asichome mahindi na kaz nyngne ulzotaja Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mocker2

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    johnthebaptist, Kwamba ibada zikifanyika kwa muda mfupi ndio CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mocker2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mbeba maono ya Watanzania hatimae ametuvusha salama kwenye janga la corona, Tuendelee kumwombea Rais wetu

    nam utanishtua ndugu,maana nilikua na sumu hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mocker2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

    Hv una mda wa kuwaza mapenz kwel,ebu nenda ukajiandikishe upige kura tar 24 mwez wa 11
  7. mocker2

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuomba msaada wa vifaa vya Ebola vya $m 9.5 leo na kesho tunatangaza tuna hela ya kununua ndege 5 za $ m 90. Watueleweje?

    Unajua drc wanatumia na pesa zao kudhibit ugonjwa…
  8. mocker2

    JamiiForums Tanzania Tuishi humu kwa kuheshimiana, kusitiriana na kuweka akiba ya maneno

    Unatoa twitter unaleta humu…
  9. mocker2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

    Kwani unahisi mapenzi ni sura bro?ebu zinduka ndotoni bwana.Kwanza kupenda au kupendwa sio lazima wewe tafuta pesa tu.
  10. mocker2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

    Uza tu simu mkuu…pesa ya bando umetoa wap
  11. mocker2

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tarehe ya mwisho ya kuomba mkopo.

    Hauko serious na maisha wewe…leo tar 13 una takribani masaa 48 fanya kujaza ayo maelezo mtandaoni then tuma hivyo vyeti sahv waviakik kesho…lakini next tyme uwe makini na mambo yako
  12. mocker2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri wenu

    Vuta bangi
  13. mocker2

    JamiiForums Tanzania Andrew Stephenson ajibiwe na aache kuingilia uhuru wa vyombo vya usalama Tanzania!

    Ngoja nikuondoe katika mstari wako uo ulio nao uende ukatulie kwa ngumi moja…uliona taarifa kwa umma Tanzania wakikemea yale yanayotokea jimboni texas uko marekani?ukilijua hilo utapata uelewa!
Back
Top Bottom