Wakuu naombeni ushauri wenu

Wakuu naombeni ushauri wenu

Unaonekana kwenye game la mapenzi bado underground..mabaharia hua hatujitosi mazima kwenye mapenzi..mana mwisho wa mapenzi ya dhati na maumivu na chuki...kimsingi hutakiwi kupenda mademu wa kibongo..pia kosa kubwa kuwa na demu mmoja..eti kisa mapenzi ya dhati...

Mwamba hapa umemaliza,umeongea mawazo yangu yote ,hawa viumbe haswa wa bongo si vema Kuzama Mazima,watakuumiza,natamani watu wafuate ushauri wako utawasaidia sana
 
Asante kwa ushauri wako kaka na kwa kuwa wengi mmenishauri nimpotezee nitafanya hivyo. Kujibu swali la unakwama wapi ni kuwa ni kuwa chongomoto ni kumsahau.

Acha kauli za kitoto wewe,,usimsahau mama yako huyo.?fanya mazoezi kuanzia sasa,,concertrate na kazi au masomo yako n Life goes on,hii kauli yako ya kusema nichangamoto kuachana nae inakera sana,acha utoto na upuuzi unatuabisha wanaume wenzio hapa
 
Aisee ukioa huyo mwanamke hutaishi kwa raha maisha yako yote Yan utakua Kama like kondoo tu ndani ya nyumba au Dem anakuzidi kipato nn?
Alafu nashindwa kumuelewa yan mwanamke abanwe nyege baa akupandilie hapo hapo bar still unataka

Sijakuelewa mkuu unamaanisha hujaelewa kwanini kabanwa akiwa bar ?

Kwa upande wa kipato tunafanana, yeye ni mwajiriwa kwenye kampuni flani ya bima na mimi ni mwajiriwa katika shirika flani.
 
Acha kauli za kitoto wewe,,usimsahau mama yako huyo.?fanya mazoezi kuanzia sasa,,concertrate na kazi au masomo yako n Life goes on,hii kauli yako ya kusema nichangamoto kuachana nae inakera sana,acha utoto na upuuzi unatuabisha wanaume wenzio hapa
Asante mkuu. Ntajitahidi
 
Kwani kutomba bei gani...ungetomba kimoja cha fasta tena ungeenda mgongea chooni kabisa
Habari za asubuhi.

Kwa kweli nimefikia katika hatua ngumu sana katika mahusiano yangu (japo huenda isiwe sahihi kwa mimi kuita ni mahusiano kutokana na hali iliopo hivi sasa.

Ishu yenyewe iko hivi, Hapo katikati ya mwaka nilikutana na mwanamke mmoja katika mazingira fulani na kiukweli baada ya mazungumzo kadhaa nilimpenda sana, basi tukabadilishana namba tukaanza kuwasiliana, baada ya mawasiliano kwa muda fulani tukaanza mahusiano ya kimapenzi ambayo mwanzoni yalikwenda vizuri tu.

Lakini changamoto ikaanza kujitokeza, pale nilipogundua yeye ni mtu mwenye wivu sana au naweza sema hana imani sana nami kwakuwa alianza kukasirikia mambo madogo madogo sana kwa mfano akinipigia simu akaona inatumika lazima ataanza kuuliza kwa ugomvi, akiona niko nae nikawa najibu sms basi anakasirika anahisi nachati na mwanamke mwingine. Kuna siku moja nilimfanyia surprise anakokaa nikampigia simu nikiwa stand lakini kwa sababu sikumwambia ukweli kuwa ningekuja siku hiyo ili nimsurprise akaanza kunihisi labda nimetoka kwa mwanamke mwingine mpaka nilipomuelewesha akaelewa akanyamaza.

Sasa kisanga kimetokea juzi tumekutana zetu baa kunywa supu ya samaki. Mara ya kwanza tumepiga stori vizuri tu na tukaongelea mambo mbalimbali, baada ya muda hamu ya sex ikampata akanambia anataka nikamwambia hapa tuko bar subiri kwanza tukitoka. Hakunielewa akaanza kunikalia mapajani, nikamwacha alipoanza kunilalia akiwa amekaa mapajani nikamwambia kaa kwenye siti yako tukitoka tutakwenda ku-do. Nilipomwambia hivyo alikubali ila ALIKASIRIKA SANA, kwa hasira akanambia lete simu yako niikague, akaanza kuikagua akakagua sms za kawaida akaona hamna chochote cha kunikamatisha.

Akataka kukagua na whatsapp, nikamwambia whatsapp hapana. Kiukweli nilikataa si kwa sababu nilikuwa na mwanamke mwingine, la hasha, nilikataa kwa sababu sikufuta sms za whatsapp za ma X wangu(mimi ni mvivu kufuta sms za whatsapp) hivyo niliogopa ikiwa angeziona na kwa jinsi nilivyomjua asingenielewa hivyo nilikataa yeye kukagua sms za whatsapp akawa anang'ang'ania nikamnyang'anya simu akawa anang'ang'ania tena huku akiniambia 'usiponiachia nikague simu yako basi jua mi na we ndo basi', nikamnyang'anya akaondoka kwa hasira. Kujaribu kumfata sikumuona.

Baadae nikaanza kumpigia simu ikawa inaita hapokei alivoona kero akaniblock, nikapiga kwa namba ingine alipogundua kuwa ni mimi akaikata na hakupokea tena. Nikamfata anapoishi nilopofika mlangoni alipogundua kuwa ni mimi akafunga mlango kwa ndani halafu KIMYA. Tangu hapo akawa hataki mawasiliano nami, nikaja nikampigia kwa namba ingine akapokea akanambia 'sitaki mahusiano nawewe' akakata nikapiga tena akapokea akasema 'sitaki hata mawasiliano na wewe na tukionana kila mtu kimpango wake, endelea na wanawake zako.'

Sasa ndugu zangu huko ni KUACHWA, kinachoniumiza ni kuwa naamini sina kosa na kwa kweli sina/sikuwa na mwanamke yeyote zaidi yake. Na mie bado NAMPENDA SANA TENA SANA, mpaka nimefikia hatua hii ya kuleta hapa sina la kufanya kwa kuwa hapokei simu yangu wala hataki mazungumzo nami na wala simjui ndugu yake yeyote ningemjua ningemwomba anisaidie kwa kweli kwa sababu nampenda sana, tulipanga tufunge ndoa mwakani 2020.

Na tulikuwa tunapanga maswala ya kutambulishana. Sasa naombeni mnishauri nifanyeje ndugu zangu kwa kuwa mie inaniuma sana nimejaribu kumwambia kuwa nili kataa asikague simu yangu kwa sababu hangeamini ambacho ningemwambia lakini hakunielewa.

Mnisamehe kwa kuandika maneno mengi sana kwa sababu nilitaka kueleza kila kitu.

Naomba mnishauri wakuu.
 
Acha shobo za kumpigia
Nashkuru sana kwa kunishauri mkuu.

Kwa kweli hakuna nnachoficha, hapa kwenye simu hata ukitaka sms za 2016 zipo yani sinaga kabisa time ya kuzifuta.

Umenishauri niende kwake nilienda akanifungia mlango akaniacha nje. Sasa ni wiki ya tatu hii napiga simu kwa namba ingine atafanya kupokea atanifokea atakata.
 
Dah hivi mwanaume unakosaje mbinu ya kumchinja mbuzi keshazama bandan ?!
 
Sikiliza ushauri wangu utanielewa ki ukweli si kila mwanamke anafaa kuwa mke!!
Na kumpenda mtu siyo kigezo kikubwa cha kufunga naye ndoa, bali kuna vitu vingi ambavyo unapaswa kuelewa kuhusu Ndoa ni nini? Kusudi la Ndoa ni lipi? Wanandoa wanapaswa waweje? Huyo ungejutia maisha yako yote Maana angekusumbua mpaka Ungeona Nyumba yako chungu!!
Zaidi ya Yote, Mke mwema hakuna awezaye kumuona hisipokuwa kwa msaada wa MUNGU, ukitaka Vya MUNGU lazima Uendae naye, hapo ndipo wengi wanashindwa maana ni waovu sana!! Kingine, sex before marriage ni Kukaribisha laana kwenye ndoa yako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom