Recent content by Moana

  1. Moana

    Dalili kuu za kutokupuuzia mtu anayekaribia kufa baada ya muda mfupi

    Aisee bundi ametua hapa kwetu mapema asubuhi few weeks back na ni hapa dar
  2. Moana

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Mkuu huwajui watu vizuri wewe…mtu mzima swala 5 ndo hawezi sema uongo? Hapati wivu? Wewe apo ungemwambia tu natamani nawewe nikuekee love bite Afu uone reaction [emoji1787] ngoja umpige bidada wa watu afu ukute kweli hakupendi kiivo atakupeleka jela afu aendelee na mchizi Mr. love bite
  3. Moana

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Uyo aliyekwambia anajuaje kama ni love bite hiyo alama inaeza kuwepo hata ukijigonga au kung’atwa na mdudu.. Unajuaje kama huyo aliyekwambia ana nia njema na penzi lenu? Kama mchumba wako anakucheat unaona hakufai Tena bora umuache au umpige? Umefikiria matokeo ya kumpiga mdada wa watu?
  4. Moana

    Nijitibu vipi addiction ya soda?

    Tembelea wodi ya watu wenye kusuka kama ipo.. kingine ukiwa na kisukari ukiumia kidonda kinapona kwa mbinde Au hauponi kabisa wengine wanaoza miguu kama ukifikiria hivi utaacha soda
  5. Moana

    Ukoo wangu kama Kuna laana ya ufukara na umaskini uliokithiri

    Huu ufahamu tu ni njia tosha ya kutokea..zidisha maombi
  6. Moana

    Je, ninaishi na mtu asiyeonekana? Vitu kupotea ndani ni dalili ya nini?

    Hata kama ungekua unapika pilau mbona fresh tu.. ni hao wanaokaza ubongo kwamba mwanaume hapaswi kujua kupika. Hata ukioa sasa km mkeo anaumwa nan atampikia tena pilau kitu chepesi sana kupika
  7. Moana

    Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Mkuu mimi kidogo nikwambie Njoo tufungue kesi [emoji23]
  8. Moana

    Ananiambia nijipange, kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

    Kwa iyo hata hela ya salon humpi kisa wote mnafanya kazi? Ndo maana anakubaliana na baba yake mahari iwe kubwa Afu achaneni nyie hampendani kama unampenda mtu huwez sema kuna wanawake kibao wanataka kuishi naww… ACHANENI [emoji4]
  9. Moana

    Natafuta Mume

    Dada usibadili vigezo Kama unataka wa degree shikilia hapo usikatishwe tamaa… sisi hatujui kwa nn unamtaka wa degree so mtu asikupangie. All the best
  10. Moana

    Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Hawawez kuelewa…[emoji23][emoji23]Sawa tenda wema nenda zako usingoje shukrani lakini usiombe pale ndugu au jamaa yako uliye msaidia anakataa kukusaidia wewe na uwezo anao [emoji4]
  11. Moana

    Nauza bata mzinga

    Turkey [emoji884]… peacock ni tausi
  12. Moana

    Najihisi upweke na sijui shida ni nini

    Think…. Unahitaji kujua source ya iyo feeling yako bila ivo you can try everything you’re being told na bado ukahisi the same sababu hujajua source ni nn
  13. Moana

    Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Wamezoea kula kidogo[emoji1787] jitajidi maji uwe unakunywa ya kutosha
  14. Moana

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Hahahahaha
Back
Top Bottom