Wadau habarini za saa hii,
kuna wimbo fulani nimekua nikiutafuta kwa muda mrefu YouTube bila mafanikio kutokana na kwamba sifahamu jina la wimbo huo ila naifahamu baadhi ya mashairi yake.
Wimbo wenyewe ni wa Kenya.
Baadhi ya mashairi;
"........... watu mingi wanateswa sana, ni sababu ya...
Tecno? Ile cm mtu ukiwa mweusi kamera yake inakutoa mweupe ka umemwagiwa tindikali usoni? Sijawahi kutumia hiyo kampuni na naomba Mungu aniepushilie mbali.
Sent with Samsung Galaxy A10 [emoji1783]
Mkuu hawa jamaa wa AIM GLOBAL mimi nilitarajia katika kipindi hiki cha janga la covid-19 wangenunua hata ventilators mbili tu waziweke mloganzila utajiri wao upo kwenye maigizo ya kupiga picha na magari ya watu na kupost ili kutumika kama chambo kwa wengine ili wavutike na kununua bidhaa zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.