Recent content by Mnyenz

  1. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuishi Ulaya: How does it feel kutembea Mjini bila kero za Bajaji, Bodaboda na Machinga?

    Ukipanda daladala za sinza ndio utashangaa. Unaona pisi inapanda kituo hiki inaenda kushuka kituo kinachofuata. Mtu unabaki kushangaa unatamani umwambie, kuliko kupanda daladala si bora hiyo hela ya nauli angekupa kisha umbebe mgongoni.
  2. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Mafiga iliyopo Morogoro inaumiza wanafunzi kwa michango iliyo nje ya utaratibu. Watoto hawapumziki pia

    NJE YA MADA KIDOGO. Hivi kwa mfano usipolipa, wanakufanyaje? Maana kama chakula, si anakula nyumbani??? Sasa iweje umlazimishe akija shule pia ale??? Haya sasa mfano labda sisi ni wasabato tumezoea kufunga, utamlazimishaje kula? Kama ni kusoma muda wa ziada, ni bora aje asomee nyumbani...
  3. Mnyenz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Mie sikuumbwa kuridhisha mwanamke, nikisharidhika mimi tu inatosha, yeye ataenda kuji sort out na technology (dildo)
  4. Mnyenz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Gentleman, ushapata buku 7 yako, sasa naona inataka matumizi.
  5. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

    Mie sijaona kosa la huyu mleta mada. Ni vile labda alichoandika hakijaeleweka kwa wengi. Cha ajabu naona pande zote mbili mnamshambulia.
  6. Mnyenz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kuanzisha penzi jipya ni gharama namna hii?

    Hasa zikishaisha. Zikiwemo husikii la muadhini wala la mnadi swala.
  7. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungenipa sh. ngapi? Kuwa mkweli

    😄 Swali zuri lakini, kwa mwanza unaweza kukuta wakawa wanapita ng'ombe.
  8. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Wembamba wa reli

    Hapo yuko jf, jukwaa la siasa!! anazoom I'd moja baada ya nyingine. . Na usiriaz wotee huo usikute jamaa alikua anaangalia porn 😄 people are ridiculous.
  9. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Wembamba wa reli

    Itokee tu, lakini kwa akili yangu hapana. https://youtube.com/shorts/9unOkQd-1N8?si=_t0As1lsdBLXXDkI
  10. Mnyenz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitumia sifa gani wakati wa kumtafuta mwenza wako?

    Kwa wadada, Hapo kwenye vigezo inategemea na umri wa Mwanamke. Huwezi kuwa 30s, halafu ulete vigezo, how come!!!! Wewe yeyote anaekuja beba na umshukuru Mungu. Mwanamke anatakiwa aolewe akiwa 17 akienda sana 23, ikitokea kachelewq saaaana 24. Sasa wewe upo 30, hujaolewa, ni lazima tukuulize...
  11. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya majaji waliopangiwa kesi ya Lissu aliwahi kutuhimuwa na Lissu kuwa aliteuliwa bila kuwa na vigezo. Je, watatenda haki?

    Kiungo mchezeshaji, anazunguka uwanja mzima. Unaambiwa tangu 87 hakuna siku hajawahi kuacha kwenda kazini(mahakamani) juz kidding.
  12. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania The Cost of Digital Blackouts: Gabon Orders Indefinite Suspension of Facebook and TikTok Amid Security Concerns

    Mi viongozi ya ki Africa bhana. Badala ya kuangalia namna nyingine ya kudeal na matatizo waliyoanzisha, yenyewe yanakimbilia kufungia mitandao. Sasa zama hizi za sayansi na technology wewe unakimbilia kufunga mitandao??? Bora msingeruhusu watu wishing enzi za ujima tu.
  13. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Tucheze mchezo wa Kombolela na WanaJF

    Mimi ni chawa, nipo ndani ya ushungi wa bi maza flani hivi.
  14. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Huyu Kamera Man wa Chato katuharibia picha yetu ya karne

    Halafu ukizoom kiatu chake amevaa raba sio dundo.
  15. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Kumbe hawa watu wako well informed of what transpired on 29th October 2025

    Vipi kama ripoti ya jaji ndio mkumbo wenyewe???
Back
Top Bottom