Ungekuwa wewe ungenipa sh. ngapi? Kuwa mkweli

Ungekuwa wewe ungenipa sh. ngapi? Kuwa mkweli

Wewe unataka watu wamiliki viwanja mwanza na chako unauza? Au wewe sio mtu hadi ushindwe kumiliki chako unakiuza bei hasara kwanini? Nikikwambia huna akili usiniambie nikupe zangu maana ni zangu tu na sichanganyi na mwingine.
 
Na hapo utakuwa umewaathiri wangapi wasio husika?
Kujua wataathirika wangapi akidanja hizo siyo shida zetu.
Yeye ndo alitakiwa afikirie juu ya hilo.
BTW why hujauliza ni vp kama wizi wake ungefanikiwa, familia iliyoibiwa ingeathirika vp?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom