Recent content by Mnyasikoma

  1. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kupunguza foleni jijini Dar es Salaam

    Kwako Gerson Msigwa na Serikali kwa ujumla UTANGULIZI Foleni jijini Dar es Salaam imekuwa kikwazo kikubwa cha uchumi, muda wa uzalishaji, afya ya wananchi na taswira ya taifa. Kitovu cha msongamano mkubwa kinaanzia Morogoro Road na Mandela Road kupitia Tabata hadi Mbezi, na hii inahitaji...
  2. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nkurunziza ampongeza Museveni

    Hii tweet imenifurahisha sana [emoji1] [emoji2] [emoji3] utadhani maigizo vile, kumbe maisha ndo yanaenda hivyo.
  3. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nielekeze jinsi ya kujiunga na hiyo m bet ya voda,,,
  4. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kubet kwa voda unajiungaje?
  5. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Kufuga mbwa

    Naongeza kidogo,,,,, mda mzuri wa kumpa mbwa chakula ni saa 9-10 jion, ili usiku aweze kufanya kazi yake ya ulinzi vizuri
  6. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    Ha ha ha ,,,,,,we bwana hautatoa!!!
  7. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania TRA njooni huku mkusanye kodi

    Kwenye kukopa mnakua na kiherehere kweli: wakati wa kulipa ukifka sababu kama ulizotoa zinakua nyingi!!
  8. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nape ni mstaarabu

    Umeongea point kubwa mno...... Kula like kwanza:
  9. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza kazi Rished Bade ni kumpiga teke chura?

    Duuuu! Eti mshahara mdogo!!! Milioni14!!! We unapokea kiasi gan??
  10. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Ndugu aua mdogo wake baada ya kumkuta akijamiana na nguruwe

    Nikisikia mtu amekufa baada ya kufanya matendo ya kuvunja amri za mungu huwa nasikitika sana,,,, Mungu atusaidie tu:,,,,
  11. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Hoteli nyingi zitafungwa awamu hii ya tano

    Ha ha h,,,,,, ako kamsemo nimekapenda,,,
  12. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

    Kiutaratbu askari awatskiwi kulala kwa wakati m1,,, moja akipumzika mwingine anatakiwa kuwa macho kuangalia usalama, kwa hiyo wakienda kutifuana inamaana wameacha lindo halina muangalizi na ni kosa kisheria,,,
  13. Mnyasikoma

    JamiiForums Tanzania Askari wa kike na kiume kulala chumba kimoja inakuwaje?

    Ha ha h,,,,, kwan ww ulimaanisha mtifuano gan!!!!?
Back
Top Bottom