Mrejesho: Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

mkuu cjaelewa hapo kwenye western union iyo ni milioni moja na laki mbili au laki moja na ishirini maake huo mkato cjaelewa hapo ulipo uweka
but MSHUKURU MUNGU KWA UPENDO ULIONYESHWA NA HAYA MAMBO YANAPATIKANA TANZANIA AMBAPO MTU ANAEZA KUMSAIDIA MTU ASIE MJUA ..... ASANTEE SANA

Mkuu Hiyo Ni Laki Moja Na 20 Nilikosea kuweka mkato! Kweli Sina Maneno Zaidi Ya Kusema Asanteni Wana JF
 
Saafii! Kweli swala lako liligusa watu wengi. Ukiona mtu hajachanga, ujue tu naye mambo yake hayajakaa sawa. Dunia tunapita na mtu hujui ni lini tatizo litakufika kwa hiyo huwezi kujizatiti kwa kila tatizo. Cha muhimu unaweza kwenda pale karibu na kiwanda cha ALAF kwa nje huwa wanauza mabati ya bei nafuuu... Unaweza ukajipatia linalokufaa....
 
Bado wenye uwezo wanaweza kuendelea kuchangia ukapata mlango mmoja wa gril na madirisha mawili ambayo hayazidi 360000 . naamin hiyo inawezekana
 
MKONGORO

Na kwenye thread yako ya kutaka msaada kuna mijitu ilikuwa inacoment utymbo alafu hapa inajidai kushukuru. Nyambaaf zenu. Jifunzeni kuitumia JF sio kuonekana umeandika bali andika kwa kujenga.
 
Last edited by a moderator:
Ni utamaduni wa mwafrica kusaidiana.
Bati ununue ambazo zimetengenezwa kwa technogia ya AZ hudumu mda mrefu mfano Simba pia kiboko wameanza fyatua gauge 30 au 28 itakufaa Ila sio 32.
All the best jtatu au Jne ntaongea yangu kama nilivyoaahidi
 
Hizi mambo ndo zinazidi kuwatirishia baraka wamiliki wa JF na wanachama wao
hakika , JF mshukuliwe kwa kutumika kama daraja la kuwatimizia haja na ndoto
zao wale wote ambao ni wahitaji.
 
Tatizo la watu la watu wengine humu wakiona hawana cha kuongea hujibu ujinga, halazimishwi mtu kukoment acha kama hauna uwezo wa kumsaidia mtu.
 
JF...??????....!!!!!!
I salute you. Baraka nazimwaga kwenu wote mliomsaidia huyu mwenzetu Fundi Ujenzi. Nimeona hapo juu amesema leo kashindwa kwenda kununua bati kwa sababu anamsaidia fundi ujenzi kazi nyumba ya jirani. Huu ndio upendo wa kweli unaotakiwa. Hongereni sana.
 
Hii ndio Tanzania tuliyoijua miaka ya nyuma kabla ya Vyama vya siasa, UKANDA, UDINI n.k.
Mungu Ibariki Tanzania na Watanzania wote kwa ujumla. I AM PROUD TO BE AFRICAN AND MOSTLY A TANZANIAN.
 
Back
Top Bottom