Hoteli nyingi zitafungwa awamu hii ya tano

Hoteli nyingi zitafungwa awamu hii ya tano

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
1,665
Reaction score
1,686
Kwa mfumo huu mpya wa Dr. Magufuli wa kuzuia warsha, makongamano kwa maafisa wa serikali ni pigo kwa wenye mahoteli. Ni dhahili kuwa mengi yatafungwa kwa kukosa wateja. Wengi wa wateja wa mahotli haya ilikuwa ni hao maafisa wa serikali waliokuwa wakivuna 10% ya malipo stahiki.

Nawasilisha.
 
Hoteli ni kwa ajili ya wahitaji wote ukiwemo wewe na mimi. Sasa vipi umhusishe Magufuli kupiga ban. Je anategemea watumishi wake wafikie wapi wapatapo uhamisho wa kikazi, wakati nyumba zao ni yeye mwenyewe alizipiga seli?
 
On the other hand wale wakufunzi watakaoletwa kuwafundisha watanzania si watakaa humo?
 
Itabidi wapunguze bei wananchi tujivinjari! We kahoteli ka kawaida tu eti unaambiwa dola 100, sijui 145 mara 200! Kama sio kuketeana umaskini kitu gan!
 
Afadhari videmu vyetu tutatulia navyo maana ilikuwa ni shida.
 
Hizo washa za serikali zilishayeyuka zamani maana hata asilimia 40 ya bajeti zilizokuwa zinapitishwa dodoma zilikuwa hazifiki maofisini.
 
Wanafiki wa kijani wameanza kuisoma namba. Mirija itakatika yenyeweee
 
Namba itasomwa kwelikweli. Hapa haichagui mwana ccm au mwana ukawa.
 
Pelekea moto mchwa wote tuheshimiane mjini hapa.

Yaan wajawazito wanalala chini halafu watu wanaenda ulaya,sawa tu Mungu atawalipa.JPM.
 
Pelekea moto mchwa wote tuheshimiane mjini hapa.

Yaan wa wanalala chini halafu watu wanaenda ulaya,sawa tu Mungu atawalipa.JPM.
 
Kama hayo yaliyosemwa yatakua kweli namba itasomeka kwa pipo zote
 
Sema biashara yao haitakuwa nzuri NA Ila gharama za hizo hotel itapungua
 
Hoteli ni kwa ajili ya wahitaji wote ukiwemo wewe na mimi. Sasa vipi umhusishe Magufuli kupiga ban. Je anategemea watumishi wake wafikie wapi wapatapo uhamisho wa kikazi, wakati nyumba zao ni yeye mwenyewe alizipiga seli?


Umeelewa point ya mtoa mada?
 
Back
Top Bottom