Recent content by mnyankole original

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba kali ya Rais dhidi ya Spika Ndugai, maombi ya kitaifa yaliyoandaliwa na Bunge bado yatakuwepo?

    Tusubiri kwenye kipindi chake cha shule ya uongozi labda atakuja na new topic
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba kali ya Rais dhidi ya Spika Ndugai, maombi ya kitaifa yaliyoandaliwa na Bunge bado yatakuwepo?

    Tusubiri bunge la tarehe 15, tunaweza kushuhudia mengi zaidi ya haya
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba kali ya Rais dhidi ya Spika Ndugai, maombi ya kitaifa yaliyoandaliwa na Bunge bado yatakuwepo?

    Cheche za leo zilikuwa kali sana, kama kweli speaker alikuwa anaangalia live, leo usingizi utakuwa mgumu kupatikana [emoji848][emoji848]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni Wezi?

    Nilishangaa Halotel nilinunua bundle la GB 10 ndani ya siku 3 naambiwa bundle lako limeikwisha!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

    Naomba na Karagwe iwepo kwenye list tafadhali !!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Machozi Kutumika Uwanja Wa Taifa Kutawanya Watu

    Inatakiwa waziri mwenye dhamana aje na majibu ya maswali haya siku akiita press kuongelea hili suala
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Machozi Kutumika Uwanja Wa Taifa Kutawanya Watu

    Hata vicoba wana sheria na kanuni zinazowaongoza!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    The nature have selected. system haimpi favor tena
  9. M

    JamiiForums Tanzania HESLB: Baada ya Rais kafuta retention fee-6%-heslb tunaomba statements mpya

    Tunaomba invoice mpya, ili kila mtu ajue deni lake halisi HESLB waache janja janja
  10. M

    JamiiForums Tanzania HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Kwa maana hiyo 6% ambayo ndio retention fee, imefutwa rasimi kuanzia leo baada ya hotuba ya Mhe. Rais? Na itafanyika recalculation upya ??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anaempima huyu mama amuache amlize kusoma hotuba

    Tatizo amepanda kwa stage na over confidence
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vile vipindi vya TUNATEKELEZA vya TBC bado vinaendelea kuoneshwa ?

    Nadhani mtangazaji wake aliyekuwa anakisujudu alishaenda zake !!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Natamani uongozi mzima wa NIDA usambaratishwe kwanza tuanze upya. kuna jamaa yangu alijiandikisha tangu 2019 mpaka sasa anaambiwa kitambulisho aendelee kusubiri [emoji848][emoji848]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Okay nipo kitako, make umenikumbusha maisha ya Msm na purukishani zake nikiwa huko since 2005 - 2011
Back
Top Bottom