Anaempima huyu mama amuache amlize kusoma hotuba

Anaempima huyu mama amuache amlize kusoma hotuba

fullcup

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
809
Reaction score
2,216
Hapa naangalia maadhimisho ya mei mosi kuna mama wa ATE hapa ni anatetemeka hatari. Jamani kama kuna kamati ipo kazini muachieni jamani mpaka huruma.


Kwa tamaduni zakwetu tunaamini kunawatu wanampiga pini na matunguli pahali fulani mapangoni huko naombeni mumuacheeee.

Hotuba nzuri ila msomaji mbovu hatari.
View attachment 1769868
 
Huyu halafu ni PHD HOLDER. Hana kabisa utulivu bila hicho kimeza alichoegemea anaongea vitu muhimu ila uoga ndio shida Majaliwa kachoka.. mama nae hata akwepeshi macho. Hapo pichu imelowa.
ahaha, lazima pichu yake itakuwa imelowa kwa hofu
 
Alikuwa na nondo kali sana sema kapoteza kujiamini. Hii clip ya hotuba yake ataichukia maisha yake yote.
Siku yake imeharibika ndani ya muda mfupi. Leo hatakua na amani hata kama akiambiwa mishahara imepanda bado hatakua na furaha
 
Hapo ukute aling'ang'ania kusoma ili mheshimiwa amuone Ila anaishia kuaibika.
Mana Samia sii Kama magu kuwa anaogopa kutumbuliwa
Waweza kuta yeye ndio msomaji mahiri kuliko wengine na alifanya vizuri kwenye mazoezi yake ndio maana akapitishwa.msomaji hakuitendea haki.
 
Wala tusimcheke,kuwa na confidence mbele ya meza iliyosheheni wakubwa hivo sio Jambo la mchezo.
Inahitaji mtu mwenye experience ya kusimama mbele ya watu wengi Kama wanasiasa, viongozi wa dini, hata Waalimu sio wabaya sana.

Chukulia mfano wanafunzi wapo wote shuleni siku zote lakini mchukue mmoja asiye kiranja Muambie asimame mbele azungumze uone mtetemo wake.Confidence inajengwa
 
Kuongea mbele ya umati hasa mbele ya Rais ni kipaji pia.....ila kama huna kipaji unaweza kujifunza kama skill ya ziada,
download (1).jpg
 
Back
Top Bottom