Kazi ya kumwelimisha mtoto, wahusika wakuu ni mtoto mwenyewe, Wazazi,Waalimu, Serikali, Mazingira au maeneo yanayo mwezesha mtoto kujifunza. Kumbe kuwaadhibu tu Waalimu kutokana na matokeo mabaya ya wanafunzi naona si haki. Je maeneo mengine yako sawa?
Tabia ya Baba Kiongozi au alikuwa Kiongozi mtoto naye lazima awe kiongozi naona kama inataka kuzoeleka. Nimeona hata hapa petu Tz ni hivyohivyo kama Baba alikuwa Mbunge eti lazima na mtoto naye awe Mbunge. Jamani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.