Recent content by mnyamwe

  1. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Intaneti imezidi kupanda Bei

    Mh napita tu Sasa hapa tunaweka mchanga wa hoja au tunaweka masiahara
  2. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Kumbe anayehitaji kutibiwa na Serikali Tanzania nzima ni Profesa Jay tu na wengine wajitibie wenyewe?

    Jamaa alichokiandika ni sahihi kabisa sema cc wa tz ni wavivu wa kutafakari hivyo ni ngumu Sana kuweza kuelewa alichokiandika Jamaa sema wengi wanamihemuko mingi na bendela fuata upepo
  3. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

    Kwani ulikua ujui mtu akishazeeka akiri inaludi utoto au uwezo wa kifkr kunapungua?????
  4. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Tatzo unaangaria watu wachache ndio tatzo
  5. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Unautaalam gani wa kuwatambua watu wanaotumia vidonge????
  6. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

    Upo sahihi kristian lonado
  7. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jiandaeni kupokea ugeni

    Inafulaisha
  8. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi Sina furaha na maisha yangu very dissappointed

    du mkuu umeongea madini mazto sana ni poents juu ya poents mm niliwai kufanya hayo makosa yalinigalimu sana had leo naongea nmeamua kubaki pekeangu kwanza ili niitafte furaha ya kweli nikiwa mm kama mm
  9. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa huu ni mkoa gani

    Kigoma iyo
  10. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa huu ni mkoa gani

    kigoma hapo
  11. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mgonjwa wa CoronaVirus: Aga Khan wanaeleza kweli au tutarajie nini?

    Duu asee Mungu tusaidie
  12. mnyamwe

    JamiiForums Tanzania Ndoto Gani Iliyokutatiza (Sio Lazima Iwe Inatisha) Uliwahi Kuipata?

    Mh mi jana nmeota kuna m2 kaja kaingia ndan kajfunika shuka ckumbuk lang gan kasmama pembeni ya ktanda akaanza kunpulza upepo mkali sanau unapuliza kama feni hv nmepga kelele kwa muda mlefu nilpokuja kush2ka du pumz ipo juu had naogopa hata kulala
Back
Top Bottom