Rais Samia: Jiandaeni kupokea ugeni

Rais Samia: Jiandaeni kupokea ugeni

Yaani Ina maana dunia haitujui ndo ssh anaanza kuitambulisha nchi yetu?!
Gharama yake ni nini huo mkutano wao? Je covid imeisha au ndo wanaleta mzigo mpya 3rd wave?!
 
Mama ana adjust taifa letu kwa kasi ya ajabu sana uharibifu ulikuwa ni mkubwa sana,ndani ya taifa hili.
 
haya niliwahi sema mapema na kwel yanatimia, hongera kwangu, nanukuu ''kutokana na uongozi wa rais samia kufuata uongozi wa kidiplomasia na kufuata sera za dunia jinsi zinavyotaka viongoz wa nchi wafanye nae anafanta basi tutegemee kuja kupendwa na mataifa ya uko uzunguni pia tegemeeni kuja kupongezwa ama kuzawadia heshima ama tuzo ya kiongoz bora.", si kwa chuki lakn ajipange maana hata waenga wetu wakiwai kusema hivi ''mkoloni akikusifia jua unakosea" , pia kuna rais aliwai kusema kwa kuwaambia wananch wake kuwa ''mkiona nimeanza kupendwa na wazungu juweni nimewasaliti" , na nikwel yule bwana alitenda mengi sana mazur na alichukiwa na wazungu mpka wakamuua kikatili bila huruma, kwa TZ pia ndvyo ilivyo.
ili upendw na dunia bas jiandae kuwaridhisha, kwa kukosa misimamo dhabiti, kufuata sera zote wnazozitaka wao, uachane na mambo ya pan Africanism, bal uwe mwanachama wa western diplomatic leadership, hapa hakika utapendwa na mzungu, pia ruhusu agenda zao zote, na mashirika yao yote ku operate ktk nchi yako kwa kuyaondolea vikwazo, hakika dunia za wazungu itakupenda, na kwakuwa wao ndio wanao control media zote mfano Bbc, VOA, aljazeera,CNN,VOA na mengineyo bas tegemea habar zako nzur nzur kusambaa kwa kasi dunia nzma, na yeyote anaekuwa kinyume nawew huandamwa ama kuchafuliwa cv kwa kutumia Western media hizo hizo, haya mambo ni kwel na yanatendeka dunian kote, lkn mujue kila mwanzo una mwisho, hakuna marefu yasiyo na ncha,..sijaandika kwa ubaya, bali ni ukwel ambao hata ukipingwa aubadirik utabaki kujisimamia wenyewe,,kila mtu akazane kuipigania familia yake na ndugu zake kujikomboa kimaisha, hakuna wakukukomboa kama wew hujajikomboa kwanza, serkali haina msaada kwa mtu asie na msaada....we shall meet 2025 if Creator wish.....View attachment 1831358
Kafie mbali na usukuma wako huko,mama tunae mpaka 2035
 
Huo ndio utakuwa wakati mzuri zaidi kwa sisi watanzania kuiambia dunia tunataka katiba mpya na mama anajaribu kutaka kutusahaulisha.

Hao waandishi wakija tu, wimbo ni mmoja, katiba kwanza na mengine baadaye.
 
Rais SSH akihitimisha mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara (TBNC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, amewaomba waandishi wa habari, na Taasisi zingine, wajipange kuwapokea waandishi wa habari wa kimataifa, kuanzia Septemba mwaka huu (2021).

Waandishi wa habari wa kimataifa wanakuja kumtangaza mama Samia pamoja na Taifa lake. Wamevutiwa Tanzania kwa kuwa na rais mwanamke.

Kuhusu mama Samia, Rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa kauli yake mwenyewe, amenukuliwa akisema Wanataka kuiambia dunia kuwa kuna huyu (Rais Samia) maisha yake kaanza hivi kafika hadi hapa. Lakini changamoto anazokabiliana nazo katika kuongoza ni hizi, tukiwasaidia hapa na hapa hii nchi itafika hapa.

Kuhusu kuitangaza Tanzania, amewaomba watendaji wa taasisi na sekta ya habari nchini, ikiwemo ya usafiri na usafirishaji kuwa kazi yao iwe ni kutoa taarifa namna walivyojipanga na mipango ikoje. Pia, sekta biashara nayo ieleze ikoje, mipango yao, maeneo wanayotakiwa kuwekeza na malighafi inayopatikana.

Naamini kuna mengi ya kuiambia na kuionesha dunia. Hivyo basi, hata sisi wana mitandao ya kijamii tuandae mada za kuitangaza Tanzania wakati huo.
Inafulaisha
 
Ingependeza sana kama angefikia alipo through electoral process.

Ila amekua hivyo by default.

Ngoja tuone 2025.
 
... kwenye ufunguzi wa Baraza la Biashara jana, tena kikiwa kikao cha kwanza tangu mwenyekiti aliyepita afariki, wala hajapoteza muda kunyamazisha washiriki sijui kwa dakika moja kumkumbuka marehemu. Legacy inasambaratika kwa kasi ya ukungu wa asubuhi!
Tatizo liko wapi kamanda?
 
Back
Top Bottom