Recent content by Mnyampaa

  1. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Practical geography for East Africa

    Mkuu popote ulipo unaweza kutumiwa. Ni PM contacts zako tuwasiliane namna ya kukutumia kitabu huko Mwanza
  2. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Practical geography for East Africa

    Retail price ni 25000 tu Mkuu
  3. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Practical geography for East Africa

    Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A - level) Jipatieni kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain, Compass, Plain Table Surveying na Levelling; Map Reading na Photograph Interpretation. Kitabu kimeandaliwa na Mtaalam wa...
  4. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa geography: Jipatie kitabu kipya practical geography for east africa

    Retail price Tshs 25,000 mkuu
  5. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa geography: Jipatie kitabu kipya practical geography for east africa

    Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A & O level) Jiwezeshe katika somo kwa kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain, Compass, Plain Table Surveying na Levelling; Map Reading na Photograph Interpretation. Kitabu kimeandaliwa...
  6. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Ngoja nikujoke

    twende....twende....mashavu kaa mimba ya panya
  7. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Ni mtu maarufu ndani ya jf.

    Picha za hivi hata my kids 4 & 9 yrs walishaacha kupia!
  8. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Ana kwa Ana na MO Ndani ya Vogue!

    Kumbe na yeye ni celebrity? Mbona huku kwetu anatutembelea mitaani kuomba kura kila baada ya 5 years
  9. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Fumanizi lazua balaaaaaa

    Atakuwa kaibana kwa nyuma. Teh
  10. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa tyson ame..............

    Hili ni jukwaa la utani mkuu mbona unatoka povu? Usilete umakini kwenye utani jomba!
  11. Mnyampaa

    JamiiForums Tanzania Bendera ya taifa inafanya nini kwenye jengo la ibada?

    Hiyo ya njano mbona ni ya Wanajangwani hushangai?
  12. Mnyampaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikaribia kugegeda someone's wife

    Na wewe ukioa umjali na kumridhisha mkeo!
  13. Mnyampaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mke wangu ananibaka?

    Nenda TAWLA watakusaidia!
  14. Mnyampaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikizidi inakeraaaaaaaa

    Hahaaaa... Nimecheka mpaka basi! Ina maana huwa inachakaa? Tujitahidi kuchangia uchakavu meeeeen!
  15. Mnyampaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikizidi inakeraaaaaaaa

    Hahaaaa... Nimecheka mpaka basi! Ina maana huwa inachakaa? Tujitahidi kuchangia uchakavu meeeeen!
Back
Top Bottom