Nilikaribia kugegeda someone's wife

Nilikaribia kugegeda someone's wife

unafikir cheating inakuja bila visingizio!?
silka tu ya mwanadamu kutokupenda kukiri udhaifu!
BTW mpka unamfikisha hapo ulipomfikisha bado tu unaamini hujamgegeda?
kimsingi inakupasa kuwajua sana wanawake kuweza kudeal nao!
 
Kaa tayari kuingiziwa chuma cha moto makalioni..mke wa mtu sio tu ni sumu bali ni uchafu mbaya
 
ah wewe mgegede tuu mwana....alafu huyo mwanamke muongo kweli...sasa kabla ya kuolewa na jamaa alikuwa haoni kuwa jamaa hamridhishi?...gegeda that lady man

Aisha eeh raha ya mechi baoo lazima awe mjanja kama ronaldo , ajue kutupia kama messi wee mgonge tu si ametega mwenyewe bana haha gegeda huyo labda anatest bucha za nje ziko vp manake siku hizi wanaume wa kwenye ndoa mechi za jirani wao tu acha naye aombe mechi ya jirani bana siunajua salad inapendwa sana haha mbavu zangu
 
Lol mkuu najaribu kumkimbia baada ya kugundua ni mke wa mtu.

Na Mume wa mtu atakaribia Kukugegeda, sasa sijajua kama atarud Nyuma pale atakapo note kuwa wewe sio shoga
 
mke wa mtu ni sumu ogopa sana,tena shukuru mungu umejua usingejua je
 
Nimezoeana sana na huyu mwanamke nimempenda sana,naye kumbe alikua akinipenda ever since tumeanza kuzoeana, because i am kinda charm and so caring and i know this,nimeingia kwenye relation nae bila hata ya kumtongoza mazoea yalizid kiasi cha kuanza love realationship,Recently kaniambia yeye ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja wa umri kama miaka mitatu hivi..Dah nilichoka kwan nimempenda huyu mwanamke balaa.Daily amekua akiniambia mumewe hamjali wala kumthamini like he used to do before he married her, much less hamridhishi on bed.Nashukuru Mungu sijazini nae ila before sijajua kua ni mke wa mtu nishafanya nae foreplay(romance) mpaka nikamfikisha kileleni without penetration ya dushelele yangu,nafanya process ya kuachana nae ingawa najua ni vigumu kwangu hata kwake pia kwa haya mapenzi tuliyooneshana kwa muda mfupi.

My take:Wanaume mliooa wathamini wake zenu muwajali kama mlivyokua mnawajali kabla ya kuwaoa,vinginevyo ni rahisi sana for them to cheat on you.
Hujamtendea haki,mtafune kwanza!
 
Hakuna mwanamke 'mke wa mtu' aliyegegedwa au anayetaka kugegedwa nje bila kumsingiazia mumewe ndio sababu ya ufuska wake...tofauti na wanaume ambao when they cheat, they dont really need a reason or excuse to! Kwa hiyo usijione kidume saaan kwa kuwa umesifiwa sijui unajali, sijui uko romantic, sijui you are good on bed...even if mumewe anampa yote hayo, mwanamke akitoka nje bado atasema hapati! Ka kugegeda gegeda tu...but dont think its their husband's fault that unagegeda wake za watu!

Kweli utapewa sababu 101 kumbe unafanywa *****, ni mumewe Kama hafanyi Kama mwanzo simwambie .. Anakuona babu jinga anataka akuingize mkenge unyolewe ndevu kwa kigae....
 
Na Mume wa mtu atakaribia Kukugegeda, sasa sijajua kama atarud Nyuma pale atakapo note kuwa wewe sio shoga

Mkuu unamaanisha nini kusema kua "atakapo note kuwa mimi sio shoga"
 
Nimezoeana sana na huyu mwanamke nimempenda sana,naye kumbe alikua akinipenda ever since tumeanza kuzoeana, because i am kinda charm and so caring and i know this,nimeingia kwenye relation nae bila hata ya kumtongoza mazoea yalizid kiasi cha kuanza love realationship,Recently kaniambia yeye ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja wa umri kama miaka mitatu hivi..Dah nilichoka kwan nimempenda huyu mwanamke balaa.Daily amekua akiniambia mumewe hamjali wala kumthamini like he used to do before he married her, much less hamridhishi on bed.Nashukuru Mungu sijazini nae ila before sijajua kua ni mke wa mtu nishafanya nae foreplay(romance) mpaka nikamfikisha kileleni without penetration ya dushelele yangu,nafanya process ya kuachana nae ingawa najua ni vigumu kwangu hata kwake pia kwa haya mapenzi tuliyooneshana kwa muda mfupi.

My take:Wanaume mliooa wathamini wake zenu muwajali kama mlivyokua mnawajali kabla ya kuwaoa,vinginevyo ni rahisi sana for them to cheat on you.

Mse.nge wewe! Huyo ni Malaya tu, pia na wewe utakuja kuoa na hayo yatakukuta! Sijui utaikumbuka hii post yako ya kushauri wanaume wawaridhishe wake za au vipi?
 
Aisha eeh raha ya mechi baoo lazima awe mjanja kama ronaldo , ajue kutupia kama messi wee mgonge tu si ametega mwenyewe bana haha gegeda huyo labda anatest bucha za nje ziko vp manake siku hizi wanaume wa kwenye ndoa mechi za jirani wao tu acha naye aombe mechi ya jirani bana siunajua salad inapendwa sana haha mbavu zangu

humtakii mema mwanamke mwezio wewe...alafu utakuta wewe papuchi yako unaibaniaa loh!!! wacha mpoteza mwanamke mwenzio wewe.
 
Akikuchoka atasema na wewe husimami vizuri ndio maana amekuacha!ni tabia yake tu huyo si zaidi ya hapo!
 
Na Mume wa mtu atakaribia Kukugegeda, sasa sijajua kama atarud Nyuma pale atakapo note kuwa wewe sio shoga

dah yani wanaume viumbe wa ajabu sana eti mtu anajitetea sawa nimeoa lakini sio kusema kwamba wale ambao hajaolewa hawatakiwi kuridhishwa na mwanaume yoyote jaijalishi kama ameoa au lah! asa mtu anaoa ili zile tension zote ana zirelease kwako thru s..x asa iweje tena unataka kumridhisha mdada mwingine hali mkeo yupo , hiki ni kizazi cha ngono kweli
 
Ukila hata denda unanata mdomo ogopa mke wa mtu utanasa ohoooo....!:confused2:
 
Bila aibu unajisifia kumnawa mke wa mwenzio !
Ungekuwa umeoa ungeujua uchungu wa mke shauri yako utakuja kukojoa MAGIMBI :laser:

"Beautiful woman is another man's plaything'" - Lucky dube
 
sina hakika sana na maana ya hili neno 'gegeda' maana mwalimu wangu wa kiswahili enzi zile za Mwl. hakuwahi kulitaja na mimi mke wangu mkara mimi mwenyewe kwetu Kalinzi na mama yangu anatoka Katubuka.....

Lakini nataka kusema kwamba kwa ulichofanya hadi kumfikisha pale ambapo mumewe hamfikishi, ni tayari umeshamega tunda na mumewe...........
 
Back
Top Bottom