Recent content by Mnyakilambo7

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Electrical Technician

    Asante mkuu, nimekupm tayari.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Electrical Technician

    Shukrani mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Electrical Technician

    Habarini wakuu. Kama kichwa cha thread kinavojieleza hapo juu. Mimi ni mwanaume. Umri wangu ni Miaka 23, Elimu yangu ni Diploma in Electrical Engineering. Kwa sasa nipo Dar Es Salaam, ila nipo tayari kufanya kazi popote nchini. Natafuta kazi tajwa hapo juu. Msaada wenu wakuu, maana najua JF...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

    kingine Alikiba HAJUI kuandika mashairi yenye vina kama Diamond. ..nashauri atafute mtu wa kumuondikia coz kuandikiwa sio dhambi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    832kj nimepangwa apo pia mkuu, naendelea kunywa maji mengi tu apa..
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Engineer umezngua asee
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

    thread ya kipuuuuuzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la tumbo kubwa(Sio kitambi)

    Habari zenu wanaJF, nina mdgo wangu hapa 12yrs old, tumbo lake ni kubwa , sio la kawaida kiukweli. Na sio kwamba yey n mnene unaweza sema ana kitambi hapana, ni mwembamba tu. Msaada wandugu nimsadiaje km kuna mtu analifaham hili tatizo en solution yake anaweza niambia ..Maana najua kuna siku...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamwambia rafiki yake kuwa mimi nina kitambi eti ananichuna tu

    Duuuh! Akili za kuambiwa changanya na zako, then sikiliza moyo wako!
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku'unlock huawei y330

    Sawa mkuu, nmeipitia na nimeielewa hiyo thread, ntakutafuta unisaidie..
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku'unlock huawei y330

    Sawa dada, ngoja niwasubiri..
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ku'unlock huawei y330

    Habarini wakuu. Ninatumia simu tajwa hapo juu ambayo niliinunua kwa kampuni moja ya simu nchini, sasa kwa sehemu niliyopo saizi hakuna huduma ya 3G kwa huo mtandao, lakini umekuja huu mtandao wa Halotel una huduma hiyo ya 3G, nataka nii'unlock nitumie Halotel lakin sehem yenyew nmekosa hata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CHADEMA kupoteza sifa ya kuunda kambi rasmi bungeni baada ya uchaguzi mkuu Oct

    Hahahaaaaaaa ...sawa mkuu!....maana hata conclusion yake km cion hiv, cjajua au anarud kuendelea kuandika:D:D:D
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CHADEMA kupoteza sifa ya kuunda kambi rasmi bungeni baada ya uchaguzi mkuu Oct

    Nimetfakar sana alichokuwa anataka kumaanisha ila bado cmuelewi.....labda nisaidie mkuu km ww umemuelewa!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya CHADEMA kupoteza sifa ya kuunda kambi rasmi bungeni baada ya uchaguzi mkuu Oct

    act ndo nin mkuu!!! ...nijuze kidgo
Back
Top Bottom