Msaada: Tatizo la tumbo kubwa(Sio kitambi)

Mnyakilambo7

Member
Oct 15, 2014
63
27
Habari zenu wanaJF, nina mdgo wangu hapa 12yrs old, tumbo lake ni kubwa , sio la kawaida kiukweli. Na sio kwamba yey n mnene unaweza sema ana kitambi hapana, ni mwembamba tu.
Msaada wandugu nimsadiaje km kuna mtu analifaham hili tatizo en solution yake anaweza niambia
..Maana najua kuna siku atataman kukaa kifua wazi mbele za watu km beach hiv atashindwa!
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom