Recent content by Mnyabahi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

    Huyo mtendaji kwa nini azue tukio kama hilo,kupinga picca??Au na yeye anajenda yake..au kampenda nini maana umesema ni kasichana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahehe na Tohara

    Nikweli mkuu...ila kimikoa kaenda kombo kabisa.kama dodom singida wanatahiri toka dhamani....hata hivyo asilimia kubwa ya watazania wanatahiriwa nimikoa michache tu ambayo hawatahiri.haswa makabila flaniflan..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii inaongozwa kwa sheria au kwa kushtukiza?

    Pole fisadi zamu yenu kulia sasa na sisi tucheke...yaani tuko hapa wote tazania lakini wengine wanaishi kama wako mbinguni,kwa ajili ya kuwanyonya wezao alafu unajifanya nchi haiendeshwi kwa sheria peleka ufisadi huko na usaa lazima mtumbuliwe tu..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi

    Wanazaa bila shida kabisa na wengi wana watoto..ikitokea hana mtoto ni matatizo tu kama ya wengine ambao hawana kibiongo na hawawezi kuzaaa .
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi asitisha zoezi la bomoa bomoa

    Yaana wewe na walio jenga huko mnafanana...umesha ambiwa ni maeneo hatarishi bado unatetea jinga sana wewe mbona wewe hukujenga huko.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

    Kama kwako ni kichwa maji kwa ni hazina ya thamani..wewe diyo kichwa maji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yafuta likizo TRA

    Jamani mbona hamuelewi...likizo hazijafutwa ila wamesema wamelazimika kutokwenda likizo ili kufikia malengo ya kukusamya mapato...said hapo kuna shinda gani..wakimaliza malengo yao wataenda likizo..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

    Nabadiliko gani...au upuuzi sijaona nabadiliko mimi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

    Toka hata sasa kweni lazima uwepo jf hata kama emeshinda..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sitamuamini tena Rais wangu, kwa hili kaniangusha

    Wewe usimwami....lakini mimi namwamini..peleka taarifa Zako za kizushi nyumbani kwako yaan watu wengine wapo duniani kwa ajili ya kuharibu tu...nyau weee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wachungaji: Magufuli ametupunguzia mzigo wa kuliombea Taifa

    Hapana mchungaji....vita ndo,kwaza imeaza tupunguze tena maombi??biblia inatushauri tuzidi kuwa hodari ktk Bwana pia tuombe bila kukoma.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete kushika fagio Chalinze, wengine vipi? Tupeane updates za hili zoezi

    Hongera rais mstafu...na wengine waige huo ni uzaledo baba....
  13. M

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    Kweli nimeamin.....wanaisoma namba.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kuunga mkono utendaji unaoendelea wa Rais JP Magufuli

    Wengine siyo majipu uvimbe yamahitaji kupasuliwa na shoka..ili kama kupona mtu apone kama kufa na afe...ala hapa kazi tu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alipaswa awe Malta leo hii!

    Kiingereza kiingereza ninyi mnaojua kiingereza mbona hamkwenda..watazania safari hii hatuitaji kiingereza hapa kazi tu..
Back
Top Bottom