Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Lema ameshindwa hata kutatua kero ya umeme kama mbunge, tusuburie maandamano maana hayo anayaweza.
Acha mambo ya ajabu, Tanesco iko kimkoa? au kijimbo? au Lema anazalisha umeme wa solar ambao hata wewe unaweza jizalishia nyumbani kwako?