Hivi mnaposema Gen Z hawapoi wamepanga moja mbili tatu, huwa mnapata wapi taarifa zao? Nani kiongozi wao? Wapi uliwasikia? Mbona mnapenda kuwapaka matope hao mnaowaita GenZ ?
Ndugu, Zanzibar ni nchi na sio mkoa. Na ndio maana kuna Rais, Bunge lake (Baraza la wawakilishi) ina vikosi vyake vya ulinzi zaidi ya vitano na bendera yake.
Sasa wewe Jeshi unalikataa tena na matusi juu, askari unataka kuwapelekea moto,hapo hapo unataka kuandamana. Unategemea Nani atakusaidia kikishawaka kama mnavyosema?
Mara zote kipindi kama hiki cha uchaguzi wageni hupungua, hapa wageni wanaanza tena kuanzia December, tusubiri hiyo December ifike ndio tutajua, na usichokijua kuwa nipo katika hii sector ya utalii kwa zaidi ya miaka 10 na sio hao beach boy wanaosubiri taarifa
Mkuu unaizungumzia Zanzibar ipi? Mbona huku Michamvi, Paje tupo nao kama kawaida? Na si ajabu hata were moaning madam hapo umekaa Receiption unatumia wifi ya bungalow unasubiri ukawafanyie massages..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.