hizo propaganda za mtoa hoja ni zakijinga tena akome aliyemwambia shein hataachia nchi ni nani?
zanzibar ni ya shein?uchaguz ni kushinda nakushindwa atakaa pemben awe mpinzan kama hataki akae pemben ccm itafute mtu mwingine makamu wa rais wa kwanza
Naomba unifahamishe geoinfomatics wanashugulika na kitu gani zaidi yani wanajifunza nini?na mustakabali wake kwenye soko la ajira ukoje?
Naomba unipe uelewe ili nipate picha yake kwa sehemu
kitu hicho si kweli yumkini mtoa mada ni kilaza hajui sheria ya uchaguzi,akiludi cuf itamsaidia nini yeye kama yeye?hawez kugombea hata udiwan maana muda wakuwasilisha majina tume umeshapita!pia si kweli aliyeandika uzi huu ni mtu wa ccm yan watafuta shari,Juma duni yuko bize na kampeni...
ukawa kwa maana ya lowasa mpeperusha bendera wataanza upya kwa kutumia rasimu ya pili wao limo hadi kwenye ilani na lowasa kisha sema atasimamia katiba ya wananchi sio katiba iliypendekezwa na ccm kupitia bunge maalum.
Ndugu zangu watanzania hii ndio faida yakubadili mfumo lowassa alipokuwa ccm...
Jamani eee wote mnajua ndoa zakanisa zinavyohitaji maadili na ukweli lakini huyu Dr.slaa alivunja miiko kabisa.
Pia mnajua kwa wakristo ukimuacha mke huruhusiwi kuoa hadi huyo uliyemuacha afariki sasa mtalaka yuko hai ila Dr kapokonya mke wa mtu sio mwanamke aliyehuru mke wa mtu,kwa hiyo huyu...
ni majungu kwelikweli hakuna nafasi zakupewa Esther bulaya ameshindana nakushinda kupitia viti maalum,James lembeli alishinda kwenye kura za maoni!sasa huko kupewa kunakujaje?acha uongo na uzushi mtuacheeeeeeee!!!!!!
angekuwa hana uchu wa madaraka asingefanya hila zakuondoa ukomo wa mihula katika katiba ya chama,ana tofauti gani na Paul Kagame?au museven?ni kosa kubwa kubadili katiba kwa ajili yakukidhi matakwa ya mtu!leo mbowe anaonekana mstaarabu nyie mnavyomsema siku akichaguliwa kiongozi harafu...
la muhimu wanajamii muelewe UKAWA ikisambaratika tu kwa sababu yoyote ile nzuri au mbaya itakuwa ndio mwisho wa upinzani.Toka bunge maalum la katiba wameuaminisha umma wao ni watetezi wa wanyonge sasa ikitokea wamesambaratika watakuwa hawana hoja wala uhalali kuja kwa watanzania kuomba kura zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.