Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,616
Aliyewasikia hawa Wagombea wakizungumzia kipengele cha katiba kwenye kampeni zao wanisaidie.
Magufuli: Ana mpango gani? Je,ataendelea na kura ya maoni au ataanza upya?
Lowassa: Ataendeleza kura ya maoni au ataanza upya?
Wagombea wengine wana maoni gani pia?
My take: Kama hawa hawajazungumzia swala la katiba mpya basi watu wawaulize kwenye mikutano yao.