Suala kuhusu serikali ya Zanzibar baada ya uchaguzi!

Suala kuhusu serikali ya Zanzibar baada ya uchaguzi!

Thank you Chige. Wewe peke yako ndio umenifahamu na umenisaidia. Serikali ya CUF Visiwani ndio ndoto yangu for decades now, lakini hapa I was just thinking aloud!Inaonesha wengi wetu hapa hatuijui siasa ya Visiwani. Nitasomesha hapa lakini sio leo. Inasikitisha kuwa tupo pamoja sasa zaidi ya miaka 50 na bado wengine hawaijui siasa ya Zanzibar!
 
Dr shein anaweza kumchagua mwenzake akakaa nafasi ya makamo wa kwanza
 
Yaani ndugu yangu ndio hivyoo washapanga na wanajua kama tu vile Dodoma zilivyokuja za chinichini Lowassa kakatwaa mwisho wa siku ikawa kweli. Kukupeenda hatuachii Lowassa wee hatukuachii.

Zanzibar Seif hatakubali na amesema hataki serikali mseto kuisikia masikioni mwake!
 
Chama chochote kinachopata kuanzia asilimia5 kinaingia serikalini, ukiacha ccm na cuf hakuna kingine kilichopata asilimia5. Serikali ya umoja wa kitaifa ipo kwa mujibu wa katiba,kwahiyo cuf wakikataa matokeo sijui itakuwaje!
 
Hahaha! Maalim sefu hajashinda ila kajitangazia ushindi tuu na sasaivi yupo chini ya ulinzi!
 
Kaka, tunasema kuwa CUF haitopewa serikali Zanzibar sio kwa kupenda lakini hivyo ndivyo ilivyo na utakuja kuona hivyo kesho au kesho kutwa!
Zanzibar na Bara are two separate countries apart in one country called Tanzania!

Hapo kwenye nyekundu duuu! hili ndio iko hivi kumbe? ile nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika ilibadili jina au hii ni nchi ingine?
 
Hahaha! Maalim sefu hajashinda ila kajitangazia ushindi tuu na sasaivi yupo chini ya ulinzi!

muambiwe mara ngapi au raha alizokupa padri wako zimekuzidi ,

Hizo results ndizo alizopewa na wakuu wa Zec vituoni nchi nzima baada ya kutiwa saini na wakuu hao na copy zilitundikwa vituoni kila mtu aone
 
Hahahaha! Subiri saa nne usikie habari kamili! And uliziskia au unazo takwimu alozitoa maalim sefu!? Mkuu usikurupuke!
 
Dunia nzima inajua Seif ndiye mshindi Zanzibar hilo halina ubishi,kwanini hasipewe !!yale mambo aliyofanyiwa chaguzi zilizopita ya kuibiwa hayapo tena

Hayapo vp? Na ndo yapo hivi na tunayaona. Hiki kimya kikubwa cha tangu juzi sijui kina mshindo gani.

Tunajua fika lazima watamtangaza shein tu. Piga, uwa, garagaza lkn hio ndo hali.
 
Takwimu alizozito maalim sefu mnazo na mnazijua sio mnakuwa mob psychology humu!
 
Maalim Seif kashinda.. apewe MADARAKA... na kutangazwa...!!!
 
Zanzibar Seif hatakubali na amesema hataki serikali mseto kuisikia masikioni mwake!

Hujui itakuwaje vipi na tushaelezwa itakavyokuwa?
Soma maelezo ya Chige ya hapo juu na utajua itakuwa vipi.
Hatujui itakuwaje Bara Lowassa akikosa. Je, Katiba ya Magufuli iliyopendekezwa tutaikubali?
 
Maalim Seif kashinda.. apewe MADARAKA... na kutangazwa...!!!

Hakuna anaepinga hilo, isipokuwa nyinyi wenzetu Wabara hamkumpa kura Lowassa na sasa kila kitu kitaharibika. Sisi tutaikosa serikali huru ya Zanzibar na nyinyi mtakosa mabadiliko!
Tutabakia pale pale kama zamani!
 
hizo propaganda za mtoa hoja ni zakijinga tena akome aliyemwambia shein hataachia nchi ni nani?
zanzibar ni ya shein?uchaguz ni kushinda nakushindwa atakaa pemben awe mpinzan kama hataki akae pemben ccm itafute mtu mwingine makamu wa rais wa kwanza
Hpana Mkuu, sio Mpinzani bali Makamu wa Kwanza wa Rais.
 
Back
Top Bottom