Nadhani KP ametumia neno 'MGOMO' kwa maana pana zaidi ya mgomo wa madaktari unaoendelea (-na ndio maana ameliwekea neno hilo alama za '.......'). Nahisi alimaanisha mambo mengi - mgomo wa wabunge wa CCM kukutana na JK, migomo mingine inayonukia ya waalimu, n.k, pamoja na matatizo mengine mengi...