watu wengine bwana......!!!

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,225
3,944
huwa nashangaa sana mtu akilalamika eti oooooh! maisha magumu..kwa nini ung'ang'anie vitu vigumu?kama maisha magumu achana nayo fanya vitu vingine kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya labda maisha sio zari lako!!!
 
kwa hiyo na wewe uliona busara ngumu ukaamua kutoa topic la kijinga?
 
huwa nashangaa sana mtu akilalamika eti oooooh! maisha magumu..kwa nini ung'ang'anie vitu vigumu?kama maisha magumu achana nayo fanya vitu vingine kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya labda maisha sio zari lako!!!
mkuu ya Tarime inabidi ule kwanza au utaathiri michango yako JF.

nimesikia kuna watanzania milioni moja na nusu wanaugua ugonjwa wa akili
na kila mara nikiingia hapa jf najikuta nakumbuka hilo...
World mental health council wanasema katika watu wanne basi mmoja lazima awe na tatizo hilo tofauti ni kiwango cha kuathirika tu.
 
mkuu ya Tarime inabidi ule kwanza au utaathiri michango yako JF.

World mental health council wanasema katika watu wanne basi mmoja lazima awe na tatizo hilo tofauti ni kiwango cha kuathirika tu.

kwa africa nahisi ni mmoja kati ya watatu aisee....
 
huwa nashangaa sana mtu akilalamika eti oooooh! maisha magumu..kwa nini ung'ang'anie vitu vigumu?kama maisha magumu achana nayo fanya vitu vingine kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya labda maisha sio zari lako!!!
Kwahiyo una mpango wa kujinyonga au unashauri wate waache ubishi wa kupambana na maisha magumu na wakaangalie ustaarabu mwingine ahera ?
 
Ukishaachana na maisha, mambo mengi ya kufanya ni yepi? kuachana na maisha ni kufa (kujiua?) The dead remain silent and can do nothing!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom